Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
Mbona mitandao mingine na ma bank wanatoa taarifa mapema kabla siku ya maboresho ma wanafanya usiku asubui mambo shwari nyinyi mnashindwa kufanya usiku hamna taa au?
Kuna wagonjwa wanateseka mahospital majumbani Kwa kukosa huduma za kiafya,Kuna familia zimeshindwa kupata mlo WA siku sababu mmefungia pesa zao uko,kuna wajasiliamali wameshindwa kufanya biashara zao sababu yenu,iv mnaweza kuwalipa usumbufu mnao wafanyia?
Mkipigiwa sim huduma kwa wateja namba haipo,wasap hamjibu, Facebook mnajibu ila mkipewa lalamiko mnakaa kimya,huduma Kwa wateja ikifika kipengele cha halopesa mnakata sim.
Sasa nawaambiaa wahusika wote WA huo mtandao ni kwamba dogoli kinyamkela ☠️ 💀 Mzee wa samba soti,na makaratee ya usiku nawapa 24 hours muwe mshaludisha huduma nje na apo kitakacho tokea tusilaumiane mana mnakela mno.