Halotel ni kiboko kwa internet speed

mi bado naendeleza zoezi la zamani na tigo yangu kutafuta japo E nini 4G!mara niwe chumbani ,sebuleni, kwenye patio,juu ya banda la mbwa ,mara nime kwea mchungwa nje koote huko kutafuta net ,chezea tigo zenji!
 
Mkuu,nimenunua Modem yao ni 3G,lakini inasoma 2G,ni hovyo kabisa.Niko Kwimba-MZA.Nilikuwa nimetupa Airtel imenibidi niirudie.
 
Mbona kariakoo tigo 3g ni ya shida hata kupiga sim ni tatizo.
 
Tigo ni wez tu hapa town nao JPM awachunguze na awatumbue majipu
 
Jamaa wanatisha sana Niko Rufiji huku Bungu Vodacom na Airtel Network hamna,Tigo EDGE hata uwe unatumia torch Kwa Voda haupati kitu
Ila hawa jamaa ni 3G na unakamua speed mpaka ya mwisho 19Mbps sema bila Unlimited hauchelewi sikia meseji yao inaingia

 

Me mbona kwangu hicho kifurushi cha usiku wanabana sana speed
 

Swali la kizushi nje ya mada Shalet. Unatumia program gani kudownload movie? Je kuna namna naweza ku Burn kwenye Dvd after download?
Advice software ya kuConvert format ya Movie.
Asante.
 

watumia moderm gani
 

du, hao jamaa ni balaa...ngoja niwahi laini yao...hawa voda cku hz ni qumer...speed yao ya kisengerema sana.
 

mkuu ni kweli. vifurushi vya unlimited voda wanapunguza speed kwa makusudi. hakuna mtandao wa kishoga kama voda...ngoja nihamie halotel.
 
Yes wana speed ila hawajafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chini yake ni torrent downloder Bitcomet.


Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps


mkuu hii ya tigo ni 4G ama?
 
ni noma.tigo kwenye intaneti sizani kama wana mpinzani tena..

ila sio maeneo yote na sharti uwe na line ya 4g yenye uwezo wa 32K na uijaze 10,000 za kuanzia ili ku-activate...ukiwa na laini ya kawaida ya 16K hupati kitu.
 
ila sio maeneo yote na sharti uwe na line ya 4g yenye uwezo wa 32K na uijaze 10,000 za kuanzia ili ku-activate...ukiwa na laini ya kawaida ya 16K hupati kitu.

10, 000 ya nini...ukishakua 4G umemaliza kila kitu....mm line ya 4g nilichange bure na bundle ni za kawaida.
ila.sijui kama now wanacharge ama vp
ila all in all 4G ya tigo iko vizuri
 
Kwa hiyo ni lazima uwe na simu ya 4G ndipo upate spidi nzuri ya tigo au hata kwenye 3G?

mkuu hakuna SIMU za 4G bali ni LAINI za 4G. zenyewe zinakuwa na uwezo wa 64K wakati laini za kawaida uwezo wake ni 32K.
 

constructive advice!
 
mkuu hakuna SIMU za 4G bali ni LAINI za 4G. zenyewe zinakuwa na uwezo wa 64K wakati laini za kawaida uwezo wake ni 32K.
Acha kupotosha
Simu za 4G zipo na ili Upate 4G unaitaji Sim card ya 4G na Device ya 4G(simu ya 4G au Modem yenye uwezo wa 4G)

Na wala 64k sio kigezo cha line kuwa na uwezo wa 4G kuna line ni 64K na ni za 3G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…