halotel ndo habari ya mjini

halotel ndo habari ya mjini

Msarendo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
10,887
Reaction score
7,079
jamaa wana speed ya hatari, line yangu ya voda nimeitumia kapuni. no mwendo wa kudownload na kustreem kwa 7 mbs
 
jamaa wana speed ya hatari, line yangu ya voda nimeitumia kapuni. no mwendo wa kudownload na kustreem kwa 7 mbs

Acha Ukuda wewe Tanzania nzima hawajafurahia pricing za Zantel we unasifu Ujinga! Simbilisi wewe!
 
Halotel wameajiri watu wa marketing wengi, huyu ni mmojawapo
 
nimeipenda speedi yao nyie msije huku tubaki wachache
hallotel 2.JPG

halonoma.JPG
 
hawa jamaa kama kweli wako serious inabidi waangalie wateja wanataka nini....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom