Halotel naona mmeanza kuwa jipu!

Halotel naona mmeanza kuwa jipu!

Na leo naona wametoa gb 2 kwa 2000 sasa ni gb1.5 kwa buku 2 na badooo kitu kobeee [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
UnazungumZia halotel gani? Hii ninayotumia mimi au nyingine?

Kama ni nyingine tatizo ni simu yako.
Labda inategemea na sehemu lakini hata mimi natumia halotel kiukweli sasa hata ile kasi ya internet imepungua iliyotufanya kujiunga nao
 
Labda inategemea na sehemu lakini hata mimi natumia halotel kiukweli sasa hata ile kasi ya internet imepungua iliyotufanya kujiunga nao
Sidhani sababu Halotel wapo vizuri kuliko mitandao mengine
 
Mbaki huko huko wengne huku voda na tigo tunaperuzi bila stress sikuwahi kufikiria kuhama
 
Mbaki huko huko wengne huku voda na tigo tunaperuzi bila stress sikuwahi kufikiria kuhama
Na nina baki hukuhuku maana tatizo lishapata ufumbuzi he he he! mambo mubashara voda likija wingu la mvua network inaanza kusuasua! tigo speed ya kobe mara uweke vocha igome msg deliver report kesho akha! bora halotel tatizo lishatatuliwa mambo mubashara sasa
 
Promo at work[emoji13]
 
Promo at work[emoji13]
sio promo mkuu niliwapigia wakapokea nikaeleza shida yangu ikatatuliwa he he he! kipi cha ajabu hapo mpaka uite promo..?
 
Kumbe tupo wengi.
Ilinitokea Jumamosi na Jumapili ambapo nilinunua kifurushi cha internet cha siku lakini kikawa kinakatika ndani ya muda mfupi sana.

Kila nilipopiga simu huduma kwa wateja na kuchagua kuongea na mtoa huduma simu ilikatika. Jana asubuhi nilipiga tena nilipoasikia "for Swahili press 1, for English press 2 nikaamua kupress 2 ili kama huduma itapatikana kwa kiingereza nilonge nao tu kwa kuwa kwa kiswahili imekosekana.

Kitu cha kushangaza nikasikia mtoa huduma ananikaribisha kwa kiswahili. Nilipomweleza tatizo yeye akawa anakomaa kuwa matumizi yangu ndio yalimaliza kifurushi. Nikamwambia kuwa nimetumia huduma ya kifurushi kama hicho cha siku kwa miezi kadhaa na kilikuwa kinatosha kwa siku nzima iweje sasa kiwe kinakata ndani ya masaa kadhaa. Akawa kakomaa tu na maelezo yake.

Kwa kweli nilivunjwa moyo sana.

Vifurushi vya halotel vimepandishwa bei..kwa shilingi hiyohiyo unapata less MB
 
Ndo maaana waliotutangulia walisema
UKINUNUA CHUNGU KIPYA, ...USITUPE CHA ZAMANI
Tena KIVUMACHO, HAKIDUMU
 
Kweli ni tatizo hasa internet. Unanunua kifurushi halafu muda mwingi internet haipatikani lakini laptop inaonyesha data inatumika
 
Wajinga sana hawa yaani hilo na mimi limenikuta kwa upande wangu nawapigia wanaongea kama wamenyweshwa maji ya chemba " Bona matumizi ako ni ya kiwago hicho do maana unatakatwa MB nyigi" [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mbaki huko huko wengne huku voda na tigo tunaperuzi bila stress sikuwahi kufikiria kuhama
Tigo na vodacom hapa Dodoma mjini ni kimeo hatarii. Tigo 4g haiwezi inadownload kitu cha mb 90 kwa masaa matatu! Aibu sana, halotel Dom wapo vizuri ila si kama zamani wakati naanza kuitumia, siku hizi internet yao haina kasi. Ila voda 4g kwa Dar es salaam ni suluhisho la matatizo ya internet. Wale wa dsm nawashauri watumie voda 4g hawatajuta.
 
Back
Top Bottom