Halotel mnatupa wakati mgumu Mafia

Halotel mnatupa wakati mgumu Mafia

mtokeibwima

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
74
Reaction score
37
Leo kutwa nzima mtandao wa Halotel hauko hewani ktk kisiwa cha mafia, kulikoni? Au ndo pumzi imekata? Ofisi nyingi Huduma hazikupatikana kwa kuwa internet kwa asilimia kubwa inatumika Halotel
 
Back
Top Bottom