Halotel mnaboa

Halotel mnaboa

TrueMan07

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
31
Reaction score
29
Niliuziwa line ya halotel y kiuanafunzibmwaka jana, kama ilivyo ada nilikuwa naweka kila mwezi muda w maongezi wa kuanzia Tsh 10,000++ accoarding to my matumizi, lakini cha kushangaza kila yafikapo majira ya jioni network upande wa data ni ovyo kwa 95%, lakini ifikapo alfajir kasi ni ya kutosha hadi majira ya mchana, ikafika kipindi nikalazimika nitafute chip ya mtandao mwingine ikawa afadhali kidogo, swali ni kwamba tatizo ni promo au ???? na kama waliona wanaingiliwa kwann waintroduce hizo mambo ambazo zinawagharimu????

Mwenye kujua na anijuze
 
Mitandao yote inazingua, tunavumilia tu maana hakuna namna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom