Halotel mmeanza kuwa watu wa hovyo hovyo?

Mm mwenyewe nawashangaa siku hizi pamoja nakuwa niko chini ya mnara wao lkn inasusua tofauti na mwanzo..

Ila bado sijafikiria mtandao mwingine zaidi ya huu
 
Nadhani malaika ameshuka na anazima taratibu mitandao ya kijamii ,na mimi naamini bila bando hakuna social media
 

Naona mode amepatwa na povu yangu sasa yamemshinda kaamua aiunganishe thread yangu huku

Kachukue na nilizopost fb pia badi uzilete humu
 
WATAUFYATA TU COZ WATU WATARUDI ZAO VODA AFU HALOTEL WATABAKI NA HIVYO VIDAKIKA WANAVYO LZIMISHA MNUNUAJI INTERNET AVITUMIE
We, mkia kwenda zako umetumwa. Voda inaload mpaka unamaliza kuoga haijafunguka. Usifananishe bomba na mto
 
We, mkia kwenda zako umetumwa. Voda inaload mpaka unamaliza kuoga haijafunguka. Usifananishe bomba na mto
utakua umejiunga juzi na haotel

miongoni kwa watu walio usifia mtandao huu nilikuwepo miongoni mwao fuatilia hilo

tunacho lalamikia sio speed bali ni kwanini watulazimishe kutumia dakika?(kitendo cha wao kuunganisha internet na dakika) kisha wapunguze MB?

AFU we 'Kisichana' JARIBU KUTUMIA LUGHA YA KISTAARABU HAPA SIO INSTAGRAM AU FACEBOOK JIHESHIMU.
 

Huyu kijana nahisi anafahamiana na soody brown
 
Hahahhh nikikumbuka mwanzo hallotel walivyokua wanasifiwa na sasa wanavyopondwa wajitahidi wabadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…