Mkuu line ya TTCL unayo au umewahi kuijaribu ? Kiukweli TTCL wapo vizuri huwezi kuifananisha na Halotel kwa sasa ambao mb zinavyokata huwezi kuelewa na kasi taratibu imeanza kufifiaKweli hawa jamaaa wamekuwa.kama TTCL
Naongea kwa uzoefu, nimeitumia sanaMkuu line ya TTCL unayo au umewahi kuijaribu ? Kiukweli TTCL wapo vizuri huwezi kuifananisha na Halotel kwa sasa ambao mb zinavyokata huwezi kuelewa na kasi taratibu imeanza kufifia
Sasa mkuu hao ttcl vocha yao mpaka upandie basi?Mkuu line ya TTCL unayo au umewahi kuijaribu ? Kiukweli TTCL wapo vizuri huwezi kuifananisha na Halotel kwa sasa ambao mb zinavyokata huwezi kuelewa na kasi taratibu imeanza kufifia
Sasa mkuu hao ttcl vocha yao mpaka upandie basi?