[Tanga ya Tajiri]
Senior Member
- Aug 30, 2015
- 183
- 49
Yani mimi nina kifurushi cha wiki nimejiunga alhamis sasa jana saa 4 usiku nikashangaa inakuwa slow nikashangaa inakuwaje na siku bado na sijafanya matumizi makubwa. Nikazima nikawasha hakuna kitu. Nikabadilisha setting hakuna kitu. Nikaamua kulala tu. Nimeamka tena tatizo liko palepale[emoji134]Jana niljua mb zimeisha ila nkashangaa zimeisha fasta nkalala zangu asubuhi kuna naona notification kucheck mb zipo nyingi tu nkaona tu thread yenye lalamiko haka katabia wamekaanza taratibu kanaelekea kukomaa
Wameanza kujaa sifa.Alaf Halotel wameanza kuwa na Tamaa ,,Zaman Ukiweka Salio thu kabla ya Kujiunga chchte ,,Unatumiwa meseji umepokea Mb30 Bure [emoji23][emoji23],Haha lakin sasa hiv hakuna ,,,Alaf pia Ilikuwa kwa Laini ya kawaida ukijiunga Bundle La 500 Unapata Mb 300 ,,Na bundle La Chuo Unapata Mb 600 kwa wiki ,,,Lakin wamebadiLi [emoji27][emoji27][emoji27]
Sasa kakuambia nani natumia mchina. Acha upopoma. So wote wanaolalamika hapa wanatumia mchina. Si bure unaweza ukawa una miliki iPhone halafu unakula ugali wa shikamoo.situmii mchina kama wewe,Halotel wako vizuri sana zaidi ya voda na tigo.
Sasa kakuambia nani natumia mchina. Acha upopoma. So wote wanaolalamika hapa wanatumia mchina. Si bure unaweza ukawa una miliki iPhone halafu unakula ugali wa shikamoo.
Nadhani maana hata mie inachechemea.....au twendeni ttcl nini jamanWakuu naomba kuuliza. Tangu Jana usiku simu yangu iko slow Sana mpaka sahizi inaload kwa muda mrefu Sana. Tatizo ni Halotel au??
Ukiwa na akili za kipopoma ni shida sana. Umezoea kujikosha unataka wote tuwe Kama wewe? Wewe ndo wale wanaotembea na magari ya shemeji mjini halafu sifa kibaooo.
Weka screenshot hapa kama sio mchina.