Halotel Kulikoni Jamani!

@Halotel hii Tabia ya uwizi mmeanza lini. Leo nimeweka vocha mmekata hela eti nadaiwa wacheni uhuni.
 
Awali alikua anawavuta tu ili mjae kwa wingiii... Na mmevutwa kwel yan,
 
mkuu kwenye simu yake nenda setting then data usage angalia karibuni umetumia data kiasi gani? pia kama unataka kulimit zaidi download firewall yoyote playstore then ujue kama kweli wamekuibia au ni simu yako
 
Download Opera Max itakusaidia kuSave MB's ila uvumilie maaana operamax inafanya video za Instagram ziwe slow au zisiplay haraka.
 
Mbona mm kwangu ni murua tu
Siku hazilingani mkuu kesho na kesho kutwa utakuja hapa na ww na complaints zako hapa jukwaani kuhusu hawa hawa jamaa halotel, soon nmetoka kuvunja chip yao kwa huu upuuzi wao now niko na voda tu mpka sasa sijaona problem.
 
Halotel ndo msaada pekee sasa kwa bando la uhakika,si wale mb 8
 
Halotel Kwng n Mugacherere xn
Watabaki kua The Best tyu bn!! We umeona wpy unapata night bundle 10 Gb kw buku jero tyu!!
 
Mkuu usiitupe hiyo line..nipe mimi kama hutojali
 
mkuu kuna app ambazo huwa zinaconsume data kwenye background mfano nilishawahi kujiunga na GB1 ya voda ikaisha fasta kuja kucheki instagram pekee imekula zaidi ya MB400... chagua apps ambazo hutaki zitumie data then restict internet access
Voda ndio siwataki hata kuwasikia. Nilijaribu mara moja tu kutumia internet ya voda kwa ku-stream mechi kwenye app ya mobdro, nilishangaa GB 2 zimeishia kwenye kipindi cha kwanza tu, wakati nikitumia laini yangu airtel huwa najiunga kifurushi cha GB 1 naangalia mpira dakika tisini na MB kama 600 zinabakia. Kwanzia hapo sijui laini ya voda niliitupia wapi maana sikuhitaji tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…