mkuu kuna app ambazo huwa zinaconsume data kwenye background mfano nilishawahi kujiunga na GB1 ya voda ikaisha fasta kuja kucheki instagram pekee imekula zaidi ya MB400... chagua apps ambazo hutaki zitumie data then restict internet accessJana nimenunua Bundle la Buku 1 GB Line ya chuo haikuchuka Hata lisaa bundle likakata Nilikuwa nimeunga na PC internet Hotspot nkahisi labda window ina update automatic, Leo asubuhi nimeweka tena elfu moja nkajiunga 1 GB matokeo yake Hata lisaa halijaisha natumiwa text huna MB za kuperuzi sijaunga Simu na Pc wala sijadownload Chochote zaidi ya kuperuzi Jf, Nawaza nitupe hii Laini
Mkuu Simu hii yenye chip yao hata Instagram Situmiimkuu kuna app ambazo huwa zinaconsume data kwenye background mfano nilishawahi kujiunga na GB1 ya voda ikaisha fasta kuja kucheki instagram pekee imekula zaidi ya MB400... chagua apps ambazo hutaki zitumie data then restict internet access
usiitupe mkuu hiyo card ndio uthibitisho mkuu wa wewe kupata haki yako.Jana nimenunua Bundle la Buku 1 GB Line ya chuo haikuchuka Hata lisaa bundle likakata Nilikuwa nimeunga na PC internet Hotspot nkahisi labda window ina update automatic, Leo asubuhi nimeweka tena elfu moja nkajiunga 1 GB matokeo yake Hata lisaa halijaisha natumiwa text huna MB za kuperuzi sijaunga Simu na Pc wala sijadownload Chochote zaidi ya kuperuzi Jf, Napiga customer care ile wanataka kuniconnect na muhudumu niongee nae inakata hapo, Facebook wamefunga wall yao Nawaza nitupe hii Laini
.....Hiyo line ya chuo nunua kifurushi cha elf kumi utapata 10GBMimi ndani ya lisaa gb imekata bila youtube, wala downloading yani kuperuzi tu
Boss Torrent zipo ila bundle ya leo asubuhi wakati nainunua Hata Laptop sijaiwasha yani haikuwa connected popotekwenye pc una u-torrent na kuna muvi zilikua pending kusubiri data
kuna program umeseti update automatic via wi-fi only
hapo tatizo sio halotel cheki kompyuta yako.
kwani kwenye simu usipo shea bando nako hiyo 1GB inakata fasta?
Hao tayari.wameshapoteana.juzi nilivyosikia bosi wao kapelekwa mahakamani.fasta nikazitoa hela zangu zote.halopesa.Jana nimenunua Bundle la Buku 1 GB Line ya chuo haikuchuka Hata lisaa bundle likakata Nilikuwa nimeunga na PC internet Hotspot nkahisi labda window ina update automatic, Leo asubuhi nimeweka tena elfu moja nkajiunga 1 GB matokeo yake Hata lisaa halijaisha natumiwa text huna MB za kuperuzi sijaunga Simu na Pc wala sijadownload Chochote zaidi ya kuperuzi Jf, Napiga customer care ile wanataka kuniconnect na muhudumu niongee nae inakata hapo, Facebook wamefunga wall yao Nawaza nitupe hii Laini