Halotel Internet kupanda Gharama X 4.

sjamaanisha ulichoandika...nmemaanisha hesabu zake kajichanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halotel nao ni vibaka siku hizi ila not to that extent...
 
lipa pesa wewe..unataka kushinda mtandaoni ili iweje?
 
Kimaesabu haiko hivyo labda kama anasema wanamuibia hizo mb kwa namba wanamwonesha 600 lakini zisiwe sahihi katika hesabu ya kawaida kumwelewa katika hili ni shida.
 

pole mkuu, jiunge cha mwezi cha sh 10000, GB 10
 
Waibieni tu maana hakuna namna, internet Tanzania ni anasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…