Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

Siku za uchaguzi madiwani wa ukawa wanaweza wasipate barua za kikao,au wakapelekewa muda mfupi kabla ya uchaguzi,au wakawekewa bangi mfukoni ili wakamatwe ns kuswekwa lupango,au wakaleweshwa kwa madawa ya kulevya ili wasipige kura na vitimbi vingi vinavyofanana na hivyo.muwe makini makamanda.
 
Nafikiri baraza la madiwani linauwezo wa kumkataa mkurugenzi au kutoshirikiana naye.
Naam, ni kweli hayo yameshatokea mara nyingi na sii kwa Halmashauri za upinzani pekee bali zote. Na linapotokea hilo ujue tayari ni mgogoro huo. Na mara nyingi Waziri aliyemteua huwa anaingilia kati kumtetea sana Mkurugenzi "wake" ili asiondolewe. Migogoro hiyo ndio kikwazo cha maendeleo.
 

UKAWA mnaishi kwa assumptions tu, ulofa ni shida.
 
Fanya masahihisho: jimbo la Kyerwa CDM kata 13 CCM kata 11. Waliaamua kijitangazia Mbunge kwa mtutu wa bunduki hivyo wana viti 12. Zipo mbinu za siasa maji taka waipate halmshauri kwakuwa matajiri wachache jimbo hilo wamewekeza kupitia huko...tunawatahadharisha wasijaribu. Si kwamba hatuumii kuona walivyofanya kiti cha ubunge....ila tunaamini mahakama itatenda haki....
 

Hiyo ni kweli kabisa Mkuu, itabidi UKAWA wawe macho sana na mbinu chafu za ma-ccm. Ila kwa halmashauri nyingi wakitumia mbinu chafu hazitafanikiwa maana wakijidai kualika ma-ccm peke yake akidi haitatimia hivyo lazima magamba wakae!!
 

Kumbuka waziri mwenye dhamana na serikali za mitaa ana nafasi ya kuteua wajumbe 3-5 kujoin hzo halmashaurı.Kwa hyo wenye tofautı ya madiwani 2 au 3,wasahau.Wengne pia watanunuliwa.
 
Mtwara manispaaa CDM vit 11 CCM 7.

Hapana, Mtwara mjini(Manispaa ya Mtwara Mikindani) siyo CDM, bali ni CUF na CDM. Ni kweli wamepata kata nyingi kwa Umoja wao ila siyo CDM peke yao. Nilitka kuweka kumbukumbu sawa sawa. Hivyo ni UKAWA(11) 9, CCM-5. Kwenye mabano sina hakika sana!
 
Mwenyedata za dar atuwekee tafadhali, maana najua ccm hawatakubali kamwe manispaa za dar kuhodhiwa na wapinzani, watafanya kila mbinu kulirudisha jiji mikononi mwao kama walivyofanya mwanza mwaka 2010
 
Miji mingi iko ovyo ovyo huu utakuwa mwanzo wa kujichafua kwa ukawa, tumeona maeneo ukawa walishinda serikali za mitaa ubunge na udiwani wananchi hawakutaka hata kuwaona.
 
Kuna halmashauri ngp tz ili tupate ratio ya cdm vs ccm kabla hatuja comment
 
Kumbuka waziri mwenye dhamana na serikali za mitaa ana nafasi ya kuteua wajumbe 3-5 kujoin hzo halmashaurı.Kwa hyo wenye tofautı ya madiwani 2 au 3,wasahau.Wengne pia watanunuliwa.

Asante....tutajipanga kwa hilo pia. Of course hakuna kitakachofanyika uvunguni kama walivyozoea...
 
sumbawanga municipal chadema kata 10 ccm 9 wataalamu watuambie mayor atatoka wapi kumbuka mbunge ni wa ccm na kisheria ni diwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…