Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Kuna mwenye idadi halisi ya halmashauri zitakazo ongozwa na upinzani.
Hadi sasa hizi ni baadhi ya Halmashauri ambazo ni likely kuwa chini ya Ukawa(Masahihisho yanaruhusiwa)

1. Bukoba mjini UKAWA 9 CCM 5
2. Arush mjini UKAWA 24 CCM 1
3. Arumeru magharibi
4. Arumeru mashariki
5. Monduli
6. Halmashauri ya mji wa Babati
7. Simanjiro
8. Longido
9. Loliondo
10. Halmashauri ya Moshi UKAWA 27 CCM 5
11. Halmashauri ya Manispaa ya Moshi UKAWA 20 CCM 2
12. Haimashauri rombo UKAWA 24 CCM 1
13. Mtwara mjini UKAWA 9 CCM 5
14. Lindi UKAWA 13 CCM 5
15. Kilombero
16. Ifakara
17. Halmashauri ya wilaya ya kyerwa UKAWA 10 CCM 7
18. Mtwara manispaa UKAWA 11 CCM 7
19. Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni?
20. Halmashauri ya wilaya ya Temeke?
21. Halmashauri ya wilaya ya Ilala?
22. Halmashauri ya Serengeti UKAWA 18 CCM 12
23. Halmashauri ya hai
24. Halmashauri ya siha
25. Halmashauri ya karatu
26. Halmashauri ya manispaa ya Iringa UKAWA 14 CCM 4
27. Tanga mjini kwenye idadi ya kata pls.

Halmashauri ya Moshi, CHADEMA madiwani 19 NCCR madiwani 8, CCM madiwani 5

Manispaa ya Moshi, CHADEMA madiwani 20, CCM madiwani 2

Halmashauri ya Rombo, CHADEMA madiwani 24,CCM Diwani 1

================
 
Mkoa wa Kilimanjaro UKAWA wataongoza Halmashauri za Rombo, Moshi vijijini, Moshi Mjini, Hai na Siha.
 
Halmashauri ya Moshi, CHADEMA madiwani 19 NCCR madiwani 8, CCM madiwani 5

Manispaa ya Moshi, CHADEMA madiwani 20, CCM madiwani 2

Halmashauri ya Rombo, CHADEMA madiwani 24,CCM Diwani 1
 
Wakapate semina Kigoma mjini na Karatu kabla ya kuanza kazi. Amani na maendeleo kwanza!
 
Halmashauri ya Moshi
CHADEMA madiwani 19
NCCR madiwani 8
CCM madiwani 5

Manispaa ya Moshi
CHADEMA madiwani 20
CCM madiwani 2

Halmashauri ya Rombo
CHADEMA madiwani 24
CCM Diwani 1

Tupa Kule ccm
 
Last edited by a moderator:
Dah! niliona sehemu wanasema zinafika 22 si haba.
 
Mmesahau Songea maana madiwani wa cdm ni wengi kuliko ccm
 
Mwenye matokeo ya kata Mtwara na Lindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…