Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,913
- 40,718
Dada yangu ni mwalimu huko Tanzania kila siku namsikia akilalamika juu ya Halmashauri zinavyokula hela za WATUMISHI. Inauma Sana.
Uzi huu utumike kuzitaja halmashauri zote zinazotafuna hela za WATUMISHI ili magufuli azione akafanye yake maana kule Kuna majizi pia jicho lake halijawaona.
Hela za likizo
Malimbikizo nk.
Pia elezea namna zinavyoliwa na maofisa ili serikali ijue iwashuhulikie.
Dada yangu kuwa mvumilivu huu uzi utakupa faraja.
Msalimie shemeji Mateo.