Labda hujaelewa mkuu....kuna category ya majiji ambapo jiji la mwanza limeongoza likifuatiwa na Arusha.....pia category ya manispaa,hapa imeongoza moshi...but musoma mjini na iringa mjini pia zipo kwenye top six ya manispaa safi!
Labda hujaelewa mkuu....kuna category ya majiji ambapo jiji la mwanza limeongoza likifuatiwa na Arusha.....pia category ya manispaa,hapa imeongoza moshi...but musoma mjini na iringa mjini pia zipo kwenye top six ya manispaa safi!
Ndugu Ndakilawe, unapaswa kujibu swali la kukupima uwezo wa akili ulilopewa na Kashaijabutege wala si kuporomosha mitusi kama yule jamaa Lusinde wa Mtera. Vinginevyo unazidi kuwathibitishia wanajamvi kwamba wewe ni kichwa cha panzi tu maana ulivyopewa swali la hesabu 2-6 lilikushinda na ukatoa jibu, 'kichwa cha panzi ni mama yako aliyekuzaa'! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!
wacheni ushabiki, usafi gani mnauzungumzia? umefika dambo wewe pale uhuru? umeiona unguja? umeenda rwagasore yote, soko kuu na kule national? usafi wanaouzungumzia ni kwa kulinganisha na mji mkubwa kama dar. sasa mwanza yenye mitaa miwili, itaonekana kuwa safi kwa dar coz wao wana mitaa 20. lakini si kusema kuwa mwanzan ni safi kivile
Watanzania bwana kila mtu dokta,nesi,mwanasiasa,mch Mungu,mtaalam wa teknolojia,msomi n.k.
Kama haujui kitu uliza....katika majiji makubwa duniani Dar ni ya 12 kwa uchafu.....kwa hiyo hayo majiji mengine yana mitaa miwili?
Uliza usaidiwe sio kupiga kelele na kutaja maeneo ya mwanza....tunaijua mitaa ya miji na vijiji vya wilaya ya Tanzania...kwa hiyo takwimu hizi hatubahatishi!
Jifunze kuelewa!