Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,633
- 1,608
Serikali imeipandisha hadhi mamlaka ya mji mdogo utete(Rufiji) kua halmashauri ya mji huku ikiwa na idadi ndogo sana ya watu(6600) Kwa mujibu wa sensa ya 2022 ,lakini moja ya kigezo kikubwa ni watu angalau 30,000 wanaoishi eneo la mji ,but miji yenye hadhi na idadi kubwa ya watu haipewi hadhi hiyo je hii imekaaje wadau