Geofrey Andrew Sanga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 251
- 55
Jamani wahusika soko la uyole ni hatari kwa wananchi serikali ya jiji mmeshindwa kujenga choo na kilichopo ni cha shimo na kimejaa kama picha inavyoonyesha hapo chini (samahani kwa picha ila ndo hali halisi) na cha ajabu zaidi hili ndiyo soko la pili kwa ukubwa jijini mbeya . Na lipo mtaa wa sokoni kata ya igawilo jijini hapa. NA UTAFITI WA HARAKA UNAONYESHA HII NI HATARI NA INASAMBAZA MAGONJWA MENGI SANA HASA KWA KINA MAMA. swali kwa jiji mnataka mlipuko wa magonjwa utokee ndo mshituke au mnamsubiri Magufuli? aje atumbue