Wana Jf nimejaribu kuulizia baadhi ya halmashauri za wilaya wengi tumeambiwa twende nyumbani na tutajulishwa kupitia namba za simu. je tatizo ni nini kutuweka mtaani tena badala ya kwenda kuwajibika kwa wakulima na maeneo yanayotuhusu? mwenye mawazo chanya na majibu nayaombu kwani DALDO wangu hapokei nikimpigia halafu ni mwanamke, inakuaje apo! karibuni wadau.