Ziwe na wafanyakazi waadirifu,wazalendo,wachapakazi,wasioweka maslahi ya vyama vyao mbele bali taifa..Quarterly respective projects Monitoring and evaluation should be enhanced to ensure accountability and targeted results attainment.
Du nimeipenda sana hii ingawa naona ugumu kuwapata viongozi wa aina hii kwani watu waadilifu waaminifu na wasemao ukweli ndiyo maadui wakubwa kwa wapiga kura wa leo!!!Ziwe na wafanyakazi waadirifu,wazalendo,wachapakazi,wasioweka maslahi ya vyama vyao mbele bali taifa..Quarterly respective projects Monitoring and evaluation should be enhanced to ensure accountability and targeted results attainment.