2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,625
Ikiwa takribani miaka miwili tangu serikali kutangaza kubadili mfumo wa ukusanyaji mapato na kuwa wa kieletroniki, Uongozi wa jiji la Arusha chini ya usimamizi wa CHADEMA umekaidi amri hiyo pamoja na sheria zake na kuendelea kutumia risiti za vitabu.
Vyanzo vyetu vimebaini hali hii ambayo inaikosesha serikali mapato kupitia mradi wa maegesho ya magari ulioanza tangu Januari 2,2017. Tunaiomba serikali kuu kufuta wizi huu halali ambao unaelekea kukua na hakuna wa kulisemea maana hata taasisi nyingine mkoani humo huonekana kutotumia mfumo wa kieletroni kutoa risiti pindi malipo yafanyikapo.
CHADEMA igeni mfano wa Halmashauri ya Morogoro ambayo hutumia mfumo huo ambao unaoneka kuondoa ubabaishaji lau sivyo