Halmashauri chini ya CHADEMA zaongoza kwa rushwa

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,976
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.

Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.

Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.

TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com

My take.

Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
 
Hutawaona hapa mkuu!!

Kuna mmoja kajitoa ufahamu kaja kurekebisha spelling za neno halmashauri!!! Teh teh teh teh teh....

BTW, agenda ya ufisadi ilishafutwa chadema baada ya mzee mammvi kuhamia huko, kwahiyo usishangae jamaa kuwa wezi na wala rushwa.
 
Wafanyakazi wa "STANDARD GEUGE" wamegoma kwa madai ya mishahara. Sasa hizo mbwembwe za kwamba mnajenga kwa fedha za ndani zimeishia wapi? Au zimeishia kununulia madiwani na wabunge wa upinzani?
 
Hii ina mahusiano gani na topic?
 
Mleta mada mjinga tu! Yaani unaitukananisha mamala za kupambana na rushwa kuwa hazitendi na kutekeleza majukumu yao ipasavyo siyo? Nani msimamizi wa makusanyo na fedha za ruzuku kwenye hizo halmashauri kama siyo wakurugenzi walioteuliwa na ccm? Nani mkuu wa wilaya hizo kama siyo wateuliwa wa ccm? Nani mkuu w mkoa huo kama siyo mteule wa ccm? Wameahindwa kazi siyo?
Madiwani na wenyeviti wa halmashauri siyo wakusanyaji wa mapato bali maafisa watendaji ambao ni wateule na waajiriwa wa ccm! Bora umesema kweli kuwa hao wateule wa ccm kazi imewashinda na wafukuzwe kazi kwa kuiendekeza na kuilea rushwa kwenye maeneo yao! Kukurupuka hadi unawashtakia ccm wenzako!
 
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.

Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.

Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.

TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com

My take.

Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Juzi jeshi la police lilisema miradi yote inatekelezwa na wanaccm kwa ilani yao..ina maana hakuna chama ambacho ilani yao inatekelezwa na halmashauri...twambie ni kada zipi ziko chini ya madiwani na wanaweza kuwajibisha na bado zinaongoza kwa rushwa...!!?
 
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.

Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.

Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.

TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com

My take.

Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Kwanii watendajii wala rushwaa wameajiriwa na Chademaaa auu na sisimu
 
Hutawaona hapa mkuu!!

Kuna mmoja kajitoa ufahamu kaja kurekebisha spelling za neno halmashauri!!! Teh teh teh teh teh....

BTW, agenda ya ufisadi ilishafutwa chadema baada ya mzee mammvi kuhamia huko, kwahiyo usishangae jamaa kuwa wezi na wala rushwa.
Kwani kwahivi sasa mbunge ama diwani ccm inalangua kwa thamani ya shilingi ngapi? Maana hivyo ndivyo viwanda.
 
Ccm wanaongoza kutoa rushwa chadema wanaongoza kupokea rushwa [HASHTAG]#madiwaniarusha[/HASHTAG]
 
Kuna mada zingine ukizisoma unapata picha ya mletaji ana kiwango gani cha umbumbumbu.
Sasa kama maafisa Ardhi, biashara nk, diwani ambaye sio mamlaka yake ya ajira afanyeje?
JF ya sasa kiwango kimeshuka sana below average
 
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.

Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.

Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.

TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com

My take.

Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu

hao takukuru waliomshindwa mnyeti wanajipya au kujisafisha?
 
Kama Chadema inapambana na watoa rushwa wakubwa kama akina Gambo na Mnyeti kisha Rais Magufuli anawapandisha vyeo sababu ya rushwa unataka kuaminishaje watu Chadema kuhusika na ujinga huo?!
 
Hutawaona hapa mkuu!!

Kuna mmoja kajitoa ufahamu kaja kurekebisha spelling za neno halmashauri!!! Teh teh teh teh teh....

BTW, agenda ya ufisadi ilishafutwa chadema baada ya mzee mammvi kuhamia huko, kwahiyo usishangae jamaa kuwa wezi na wala rushwa.
Kwa akili yako tu jaribu kutafakari jambo hili dogo,
1. Mwalimu wa shahada ya kwanza (Digrii ya somo la biashara au BEDCOM) kutolewa sekondari na kupelekwa kufundisha shule ya msingi katika somo la "Haiba na michezo". Hivi hapo ni kuboresha Elimu au ni kuipeleka ICU?
 
Back
Top Bottom