philipItinde
Member
- Jan 29, 2015
- 29
- 9
Wamezingua jana hadi leo pia usiku pack haiungi... Itakua kwaajil ya skukuu nahisi mkuu.nao huu mtandao mpya tangu jana vifurushi vya usiku pack vinagoma eti wanasema "mtandao unatumika kwa sasa " Haaaaaaaasssshhhh!!!!!! I fill like inveting my own internet network cha ajabu mabando mengine yanakubali siku ya pili hii yameninyima usingizi wangu bure ****
Me nimeweka cha week kimekubali.Utafikiri ulikua unataka kuingiza hela thru internet kumbe kubrowse tu
[emoji23] waliniambia nijaribu baada ya dk 15 ifikapo saa tano kwasababu mtandao umezidiwa...[emoji16] [emoji16] [emoji16]kinazingua tangu ijumaa asubuhi alafu ukipiga huduma kwa wateja wanakwambia zima simu alafu washa......yani kuna vilaza mule sijaona kila ukipiga jibu lilelile tuu
Mkuu ww kwako inakubali...?Labda kwenu tu
Inawezekana bandle limekwisha, bandle likiisha mara nyingi halotel huwa sms haziingi huku mtandao ukisoma H+Samahanini nifahamishwe kitu hapo juzi kati niliamua kuhamia halotel baada ya kuweka ile line ikawa haikai h+ wala 3G kila nikiwapigia simu wanaelekeza kwenye settings nafata maelekezo lkn ikawa bado ikabidi nikaenda kwa branch yao sio mbali na napokaa wakanirekebishia ikapanda h+ kiukweli insta, fb nilikuwa nakimbiza kwa ufasta wa internet yao lkn cha ajabu whatsapp sasa nikimtumia mtu msg haimfikii kwa muda kwan namtumia labda saa 4 asubuhi lkn mtu unamuona yupo online anaingia anatoka lkn ile msg nilotuma haimfikii wala za kwao haziji kwangu, Sasa nikaitoa hiyo halotel nikarudisha line yangu ya tigo cha ajabu zile msg zikawafikia na zile walizonitumia pia zikanifikia, Nilipo irudisha tena line ya halotel kwa Mara nyingine km kawaida imegoma kusoma network haipandi chochote, Lkn mbona line za tigo na voda hata nikichange mara ngapi 3G inapanda kama kawaida, halafu je halotel ni haikai 3G hata ikisetiwa inakaa h+ ni kwa nn eti au ni kwa sababu ya aina ya simu yangu labda coz natumia Samsung note111, mwenye uelewa anifahamishe tafadhali
nenda access point fungua hiyo ya Hallotel kisha futa 8080 kwenye proxy usiweke kitu kisha save,,,,,,jaribu tena......Samahanini nifahamishwe kitu hapo juzi kati niliamua kuhamia halotel baada ya kuweka ile line ikawa haikai h+ wala 3G kila nikiwapigia simu wanaelekeza kwenye settings nafata maelekezo lkn ikawa bado ikabidi nikaenda kwa branch yao sio mbali na napokaa wakanirekebishia ikapanda h+ kiukweli insta, fb nilikuwa nakimbiza kwa ufasta wa internet yao lkn cha ajabu whatsapp sasa nikimtumia mtu msg haimfikii kwa muda kwan namtumia labda saa 4 asubuhi lkn mtu unamuona yupo online anaingia anatoka lkn ile msg nilotuma haimfikii wala za kwao haziji kwangu, Sasa nikaitoa hiyo halotel nikarudisha line yangu ya tigo cha ajabu zile msg zikawafikia na zile walizonitumia pia zikanifikia, Nilipo irudisha tena line ya halotel kwa Mara nyingine km kawaida imegoma kusoma network haipandi chochote, Lkn mbona line za tigo na voda hata nikichange mara ngapi 3G inapanda kama kawaida, halafu je halotel ni haikai 3G hata ikisetiwa inakaa h+ ni kwa nn eti au ni kwa sababu ya aina ya simu yangu labda coz natumia Samsung note111, mwenye uelewa anifahamishe tafadhali