Sasa jamani nani atalipa nauli?![]()
Kweli dunia hapo fair mtu mwenye viungo kamili na unaweza kutembea kwa fujo na mshahara juu lkn hawalipi nauli ila wale wenye viungo pungufu na hawana kazi na hawawezi kutembea wanalipishwa nauli....
Ningeshauri ubadili lugha yako mkuu, badala ya kusema itaonekana tumewanyanyapaa sema itaonekana wamenyanyapaliwa, huijui kesho yako mkuu usiweke gap kati yako na 'wao' .....Ukisema walemavu wasilipe itaonekana tumewanyanyapaa
Tunaweza tafuta lugha nyingine yakusema badala ya kusema wasilipe tuseme tunawahisani
Hajui kwamba kila mtu before death is a DISABLE...Hujafa hujaumbikaNingeshauri ubadili lugha yako mkuu, badala ya kusema itaonekana tumewanyanyapaa sema itaonekana wamenyanyapaliwa, huijui kesho yako mkuu usiweke gap kati yako na 'wao' .....
Uwiiuiiiiii![]()
Kweli dunia hapo fair mtu mwenye viungo kamili na unaweza kutembea kwa fujo na mshahara juu lkn hawalipi nauli ila wale wenye viungo pungufu na hawana kazi na hawawezi kutembea wanalipishwa nauli....