live your life Annina!maisha yenyewe mafupi haya.mkaribishe tuAsanteni sana kwa maoni yenu, ukweli nimefarijika baada ya kusoma mabandiko yenu. Najitahidi sana na kumuomba Mungu ili niweze kusamehe na kusahau maana hata mimi si mkamilifu - nimewahi na naendelea kuwakwaza wengine kwa namna moja au nyingine.
Tatizo si tu kumpokea na kuishi nae kwa muda atakaokuwa huku, tatizo ni kwamba mimi na yeye kwa sasa ni strangers - katika kipindi cha miaka 3 ndio tumewasiliana kwa mara ya kwanza , najiuliza tutaishije. Sina tatizo na mchumba wangu najua ana akili timamu na utashi, wasiwasi wangu ni namna tutakavyoishi - mimi nikiwa na mtazamo hasi juu yake na yeye akijitahidi kuthibitisha vinginevyo! kitu kingine ni kwamba anaonekana kujali masilahi yake zaidi - yuko tayari kufanya lolote ili yake yatimie (kuna alichokuwa anataka toka kwa yule kijana na alifanikiwa), kwa tabia hii kuna uwezekano mkubwa hata asiponiharibia mimi (naamini atajitahidi ktk hili) anaweza kuharibu kwa watu ninaofahamiana nao na kuwa kama ndugu zangu huku ugenini.
Kuhusu nafasi siwezi kumdanganya kwamba naishi kwa single room maana wengi toka huko wamewahi kufikia kwangu kwahiyo atakuwa na taarifa za kutosha. Kwa kifupi maswali mengi...
Asanteni sana kwa kunitia moyo, Mungu awabariki
Annina
Annina, follow what your heart tells you to do.Asanteni sana kwa maoni yenu, ukweli nimefarijika baada ya kusoma mabandiko yenu. Najitahidi sana na kumuomba Mungu ili niweze kusamehe na kusahau maana hata mimi si mkamilifu - nimewahi na naendelea kuwakwaza wengine kwa namna moja au nyingine.
Tatizo si tu kumpokea na kuishi nae kwa muda atakaokuwa huku, tatizo ni kwamba mimi na yeye kwa sasa ni strangers - katika kipindi cha miaka 3 ndio tumewasiliana kwa mara ya kwanza , najiuliza tutaishije. Sina tatizo na mchumba wangu najua ana akili timamu na utashi, wasiwasi wangu ni namna tutakavyoishi - mimi nikiwa na mtazamo hasi juu yake na yeye akijitahidi kuthibitisha vinginevyo! kitu kingine ni kwamba anaonekana kujali masilahi yake zaidi - yuko tayari kufanya lolote ili yake yatimie (kuna alichokuwa anataka toka kwa yule kijana na alifanikiwa), kwa tabia hii kuna uwezekano mkubwa hata asiponiharibia mimi (naamini atajitahidi ktk hili) anaweza kuharibu kwa watu ninaofahamiana nao na kuwa kama ndugu zangu huku ugenini.
Kuhusu nafasi siwezi kumdanganya kwamba naishi kwa single room maana wengi toka huko wamewahi kufikia kwangu kwahiyo atakuwa na taarifa za kutosha. Kwa kifupi maswali mengi...
Asanteni sana kwa kunitia moyo, Mungu awabariki
Annina
Asanteni sana kwa maoni yenu, ukweli nimefarijika baada ya kusoma mabandiko yenu. Najitahidi sana na kumuomba Mungu ili niweze kusamehe na kusahau maana hata mimi si mkamilifu - nimewahi na naendelea kuwakwaza wengine kwa namna moja au nyingine.
Tatizo si tu kumpokea na kuishi nae kwa muda atakaokuwa huku, tatizo ni kwamba mimi na yeye kwa sasa ni strangers - katika kipindi cha miaka 3 ndio tumewasiliana kwa mara ya kwanza , najiuliza tutaishije. Sina tatizo na mchumba wangu najua ana akili timamu na utashi, wasiwasi wangu ni namna tutakavyoishi - mimi nikiwa na mtazamo hasi juu yake na yeye akijitahidi kuthibitisha vinginevyo! kitu kingine ni kwamba anaonekana kujali masilahi yake zaidi - yuko tayari kufanya lolote ili yake yatimie (kuna alichokuwa anataka toka kwa yule kijana na alifanikiwa), kwa tabia hii kuna uwezekano mkubwa hata asiponiharibia mimi (naamini atajitahidi ktk hili) anaweza kuharibu kwa watu ninaofahamiana nao na kuwa kama ndugu zangu huku ugenini.
Kuhusu nafasi siwezi kumdanganya kwamba naishi kwa single room maana wengi toka huko wamewahi kufikia kwangu kwahiyo atakuwa na taarifa za kutosha. Kwa kifupi maswali mengi...
Asanteni sana kwa kunitia moyo, Mungu awabariki
Annina
huyo shangazi mpe email yangu kwa kweli...
wanawake wenye xxxxxxxx za ovyo ovyo mi napenda nikae nao karibu...
honestly...........
The BOSS in his true colours 🙂
...Sasa shangazi amepata internship huku niliko, ameniandikia anaomba niwe mwenyeji wake nimhifadhi kwa miezi 9 atakayokuwa huku, nashindwa nimjibu nini maana bado sijasahau yaliyotokea, nahofia anaweza kufanya jambo jingine hata kama sio kutoka na mchumba wangu maana anaonyesha kutojali masilahi ya wengine. Nabaki najiuliza nifumbe macho nimpokee? Nitaweza kuzuia hisia zangu kwake kwa kipindi chote hicho? Ushauri tafadhali.
Asanteni sana,
Annina
Annina unajua maana ya kusamehe?
Kama unajua maana yake na kweli umemsamehe basi mkaribishe shangazi yako.
Annina unamwamini mchumba wako?
Kama unamwamini mchumba wako basi mkaribishe shangazi yako.
Kwa kuwa amekiri kuwa alishawasamehe hakuna haja ya kukumbuka yaliyopita kama.Pia kusamehe ni therapy kubwa sana katika kusaidia kusahau uliyotendewa na mkosaji wako, vinginevyo utaishi na kinyongo kwa miaka mingi sana kitu ambacho si kizuri health wise.
Asante Baba Mkubwa, bonge la pointi hili, ingawa kusamehe na kusahau ni mitihani migumu kuliko yote maishani mwa binadamuPia kusamehe ni therapy kubwa sana katika kusaidia kusahau uliyotendewa na mkosaji wako, vinginevyo utaishi na kinyongo kwa miaka mingi sana kitu ambacho si kizuri health wise.
Habari za siku mingi wapendwa, nina wakati mgumu naomba mawazo yenu katika hili. Kwa kifupi shangazi yangu yaani dada wa baba yangu alitoka na boyfriend wangu wa kwanza. Hawakuwa wakifahamiana kabla, niliwatambulisha na sababu shangazi alikuwa kwa kiasi fulani karibu na mimi akazoeana na yule kijana. Ikatokea wakakutana SA wakaanza kuwasiliana na kutembeleana mwisho wa siku wakawa wapenzi! Waliporudi shangazi alijikausha, hakuniambia kwamba walikutana na kijana SA, kijana akaniambia walikutana briefly.
Miezi 2 baadae kijana alitukutanisha mimi na shangazi na akaniambia hawezi kuvumilia tena maana nafsi yake inamsuta kwa hiyo inabidi aniambie ukweli kuwa walikutana na shangazi walipokuwa SA na wakafanya waliyoyafanya, anajutiana tendo hilo na anaomba nimsamehe. Alijitahidi sana kuonyesha kujutia na kuomba msamaha kwa njia na lugha zote lakini kwangu ilikuwa ngumu kusamehe na kusahau - pengine nilikuwa bado mdogo kipindi hicho kuweza kuhimili na kukabiliana na masuala (sio matukio!) mazito kiasi hiki. Na huo ulikuwa mwanzo wa mwisho wa mahusiano yangu na kijana niliempenda na kuamini ananipenda pia.
Ni miaka 3 sasa toka tukio hili litokee, lakini kila mara nimejikuta narudia kuwaza na machungu yananijia upya... kimsingi nimewasemehe wote ingawa kwa huyu kijana bado siwezi hata kupokea salam yake... shangazi tumewahi kukutana mara moja kwenye kikao cha familia - aliniomba radhi na akaniomba yasifike kwa familia.
Sasa shangazi amepata internship huku niliko, ameniandikia anaomba niwe mwenyeji wake nimhifadhi kwa miezi 9 atakayokuwa huku, nashindwa nimjibu nini maana bado sijasahau yaliyotokea, nahofia anaweza kufanya jambo jingine hata kama sio kutoka na mchumba wangu maana anaonyesha kutojali masilahi ya wengine. Nabaki najiuliza nifumbe macho nimpokee? Nitaweza kuzuia hisia zangu kwake kwa kipindi chote hicho? Ushauri tafadhali.
Asanteni sana,
Annina
Pole mpendwa,
Mi nakushauri umkaribishe na wala usisite kumtambulisha kwa mchumba wako.Huu ndo utakua muda muafaka wakuwapima wote....kama ikitokea akarudia tena hicho kitendo utajua kwamba hana nia nzuri na wewe, maana mara yakwanza inaweza kuwa ilitokea tu kwa bahati mbaya ila mara ya pili haina utetezi zaidi ya makusudi.Pia utajua na huyo mchumba nae hajatulia hivyo hakufai.
Kila la Heri.
LilSun, mambo mengine siyo ya kuyafanyia majaribio. wachumba wenyewe walivyopotea siku hizi eti unapata unayempenda unaamua kumfanyia majaribio? kama hakufai utajua tu lakini sio kwa kumletea kishawishi ili umpime.