Halima Mdee waokoe Wanawake leo!

Halima mdee hata Anna Tibaijuka anamkubali sana
 
Mbona ume-panic sana! Ni jinsia ya kike weye? Nadhani mlengwa mkubwa ni Hawa Gasia, ameshindwa kujenga hoja na kuongea utumbo. Lakini haimaanishi kuwa wanawake wote si wazuri.


Sasa alipaswa amseme huyo Hawa Gasia na SIYO kusema Wanawake kwa ujumla! Mimi ni mtu wa Haki na sipendi Watu wakionewa bila ya sababu, Wanawake ni mama zetu, dada zetu, rafiki zetu na kuna wanawake wengi tu wazuri nchi hii na wamefanya mengi kama vile kulivyo na wanaume wengi wazuri na wabaya vile vile!
 

Kama kawaida yake tayari kesha onyesha uwezo wake na ameendelea kujitofautisha na wale wa UWTCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…