Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Mwami wao Zitto Kabwe siku hizi hapewi hela na CCM kwa hiyo hata vijana wake hawana hela ndio wanaishia kuishi kwa mashairi namna hii. Haya mashairi mpelekee Mzee Yusuph atungie taarabu, bwana Njano 5Nani anatongozwa kwa mashairi siku hizi wewe, kama huna hela we chora chini. Ila kwa haya mashairi utangoja sana.
Nadhani ana haki ya kukushitaki kwa kuingilia uhuru wake na hasa kumtongoza hadharani.Jiandae kuitwa mahakamani, si unamjua lakini?
apenzi ya siku hizi bwana ni kiboko...............Naona Tabia kutongoza Kwa kutumia mashairi ina zidi kupamba moto hapa JF
Hahaaaaaa hii nayo stail mpya kumbe kuna kutongoza kwa mashairi . Nahis ujumbe umemfikiaHALIMA MDEE NIPEPEE.
View attachment 325136
Ewe Halima Mdee, leo nataka kunena,
Simama niendelee, tuweze kumalizana,
Waonaje usogee, Njano nipate nong'ona,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee
Naomba yakuelee, haya ninayo yanena,
Nyonda sinipotezee, usiku hata mchana.
Wewe ndio wa pekee, mwenzio niliye kuona,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.
Sitaki nikuchezee, lengo tupate oana,
Tupate wana tulee, kwa uwezo wa Rabana,
Mizigo wanipokee, ufurahi wao nina
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee
Alifu kisha ni tee, mambo yataka somana,
Nambie nitegemee, nipate poa kijana,
Hadi lini ningojee, subira yauma sana
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.
Mapenzi ni ukengee, chunga tusije uana,
Pamoya tuyatetee, kwa waja wenye fitina
Wote tufike uzee, kweli sioti mtana,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.
Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
0622845394
Ajabu yenyewe badala ya thread yake kuipost jukwaa LA love connect yeye analeta mapenzi siasani. Huyu ni discolifide on the sport.Matola brodah nimecheka sana
hivi ujue siku hizi hadi coca cola zinawasaidia kutongoza?
hujaona matangazo yake??
yaani ile manhood hatuioni tena mtu akijituma kutuma ngenga kwa kidosho
Hii staili sio mpya ni ya zamani sana.Hahaaaaaa hii nayo stail mpya kumbe kuna kutongoza kwa mashairi . Nahis ujumbe umemfikia
Yaelekea jamaa ni mzeeHii staili sio mpya ni ya zamani sana.
Ndio anakumbushia enzi zakeYaelekea jamaa ni mzee
Nimezama, sawa niite chz, lkn ndio hivyo nampenda Halima, tena sana.Mtoa thread bwege kupita maelezo... don't you see urself very st.upid...? Senseless...!!
mkuu kuimbishana sio mbaya, lakini mbona umepotea jukwaa.Hii kitu yako ungeidumbukiza jukwa la mahusiano wala tusingeshangaa,kiukweli hii ni "ECTOPIC POST".HALIMA MDEE NIPEPEE.
View attachment 325136
Ewe Halima Mdee, leo nataka kunena,
Simama niendelee, tuweze kumalizana,
Waonaje usogee, Njano nipate nong'ona,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee
Naomba yakuelee, haya ninayo yanena,
Nyonda sinipotezee, usiku hata mchana.
Wewe ndio wa pekee, mwenzio niliye kuona,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.
Sitaki nikuchezee, lengo tupate oana,
Tupate wana tulee, kwa uwezo wa Rabana,
Mizigo wanipokee, ufurahi wao nina
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee
Alifu kisha ni tee, mambo yataka somana,
Nambie nitegemee, nipate poa kijana,
Hadi lini ningojee, subira yauma sana
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.
Mapenzi ni ukengee, chunga tusije uana,
Pamoya tuyatetee, kwa waja wenye fitina
Wote tufike uzee, kweli sioti mtana,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.
Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
0622845394
Haya,Kila la kheri!.Nani aliekuambia kumtongoza mtu hadharani, kunanyima uhuru wa mtu mwingine. Au kutongoza hadharani Ni kosa nani, Tendo ndilo haliruhusiwi kufanyia hadharani hata Kama ni mkeo. Kutongoza inamaana unaomba jambo mtakalo fanya mkiwa wawili, kwanza lazima mkubariane hadharani kwanza.
Nimezama, sawa niite chz, lkn ndio hivyo nampenda Halima, tena sana.
Ndoto za Mchana mbaya sanaNasikia anahamia ACT....Kachoshwa na mizengwe