Halima Mdee alikuwa sero siyo jela maisha ya jela unayajua wewe, huko sero ndiyo alikula bata kutoka kwa nyampara.
Jera=jelakwa kuwa ni msagaji huenda amefurahia kuwepo jera .amesagwa na kusaga pia big up dada mdee
Huu ulikuwa ujumbe kwa wale ambao wakifikiri kumlaza segerea kutamnyongonyesha , aliwaambia kuwa yeye alikula bata n yuko tayari kurudi huko next time ........huu ujumbe utawauma sana waliofikiri kuwa kumpeleka segerea ni kumkomoa .......anawaambia yuko tayari kurudi tena Segerea .
Mi nmemwelewa vzuri kasema ati yeye kaliwa bata. Mdee kaliwa bata!
tatizo la r na l linakuwa kubwa sana..?
kwa hiyo nanyi mnaanini kwamba segerea kuna kula bata labda kama ametumia tafsida ila there is no way kwamba lupango kuwe na raha zaidi ya uraiani na kama ni kweli watu watapangafoleni kwenda kula bata
Heheheee... Labda zile raha za "tachi ze wall"
..lol
ni kweli kim nana na siku hizi linakuwa kubwa hasa kwenye kuandika..
Wanakimbia somo la kiswahili shuleni..matokeo ndo haya...
Hii ya kwenye kuandika inanitatiza sana, sijui tatizo ni nini.?Yaani wee acha tu,ingekuwa katika mazungumzo ya kawaida nikiwa na maana ya kutamka kwa kinywa hapo sawa ,kwani hapo unaweza kukosea ,lakini hata kuandika ,sijui tatizo ni nini? yaani wapo wengi kweli siku hizi,hata waandishi wa habari nao ni hivyo hivyo,duuh kazi kweli kweli.
Nafikiri pia linachangiwa na ubovu wa elimu yetu..Wengine matumizi ya h pia mtu anaandika uko badala ya huko, kipindi cha nyuma tatizo la r na l lilikuwa kwenye matamshi lakini kwenye kuandika watu walikuwa wanaandika ipasavyo but siku hizi ugonjwa umezidi mpaka na kwenye kuandika na kuzidisha ukubwa wa tatizo