Hawa Wabunge mimi wananishangaza sana, Huyu Halima Mdee mwenyewe amejitwalia shamba huko Mbweni, halafu kwenye runinga analalamikia watu kumilikishwa ardhi kubwa.
Naona mdee kawagusa,matusi ya nini? Halima kaongea point tupu..mpanda waziri mkuu wamemuuzia muwekezaji miaka 99?jiulize wewe unaembeza mdee watoto na wajukuu wako,watakwenda wapi..tuacheni ushabiki ambao unatuumiza hata sisi..
cyo wa hvy mm buku 7 kitu gani? tatizo wana cdm huwa hamuonyeshi nn cha kufanya zaidi ya kulalamika, nani awape nchi viongozi ambao sera yao ni kulalama?
cyo wa hvy mm buku 7 kitu gani? tatizo wana cdm huwa hamuonyeshi nn cha kufanya zaidi ya kulalamika, nani awape nchi viongozi ambao sera yao ni kulalama?
Hawa Wabunge mimi wananishangaza sana, Huyu Halima Mdee mwenyewe amejitwalia shamba huko Mbweni, halafu kwenye runinga analalamikia watu kumilikishwa ardhi kubwa.
mdee awe makini sana. babu slaa anamuandaa jesephine kugombea kawe mwaka 2015. huyu mama anampeleka slaa puta. hata jana niliona kwenye kongamano akimuamrisha slaa kupiga makofi. mdee linda jimbo lako usikubali kuendeshwa na padre mwenye uchu......