karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana
Kweli tumepata jembe BAWACHA,ni mkutano mkubwa uliofanyika hapa Geita chini ya makamanda Halima Mdee,John Heche,kamanda Mawazo,katibu wa BAVICHA Taifa,Makamu mwenyekiti BAVICHA Taifa na wengine waliokuwa kwenye msafara.Peoples power
Dah wewe kweli kilaza....watu wenyewe hamsini na zaidi kidogo ndio maana umetuletea picha ulizokata halafu unatudanganya ati kafunika geita....subiri mkutano wetu keshokutwa halafu linganisha picha zako na zetu...
kaka hatupo hapa kwa ajili ya kulinganisha idadi ya watu.tupo kwa ajili ya kupigania rasilimali zetu zinavyoliwa na mafisadi halafu wewe unaleta ushabiki wa kipumbavu,watu wanatutetea sisi wananchi juu ya katiba mbovu ya ccm wewe unashabikia upuuzi.kweli kuna watu bado mna upeo mdogo wa kufikiria.Tafakari kabla hujabwabwaja upuuziDah wewe kweli kilaza....watu wenyewe hamsini na zaidi kidogo ndio maana umetuletea picha ulizokata halafu unatudanganya ati kafunika geita....subiri mkutano wetu keshokutwa halafu linganisha picha zako na zetu...
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana
Halima Mdee na genge lake naona wameamua kumkomoa Mbowe ..Wanakula posho tu kila siku mpaka wahakikishe account ya ruzuku ya chama imefilisika.. Mbowe safari za Dubai zitapungua sana
Azungukezunguke huko tu, lakini ajue Kawe kunateketea.