Dah! Umenikumbusha mbali na ishu ya Njuka. Hujakosea kabisa. Ina maana wabunge wapya ni Njuka pia?kwani alikuwa anamaanisha nini?navyojuwa njuka manake ni form one kipindi kile tulikuwa tukiitwa,then na sisi tukajapata njuka wetu mwaka uliofuata!
Halima Mdee kambiwa afute kauli ya kuuza sura na njuka ingawa Spika aliwaambia wabunge kuwa muongozo wa Spika unatolewa mwisho wa mada ila CCM wao wanavunja hizo kanununi yaani ni vurugu tu.
asante dada Halima, wapashe hao ccm , waanze kuchemsha ubongo.
Inatakiwa auze nini?
adai wataandamana hadi kieleweke na wataendelea kutoa elimu kwa raia hadi kila mtu atende wajibu wake.
Am sorry jamani..kwani NJUKA ni nini?Eti hata NJUKA ni neno la Mtaani...???
sory pia kwani wewe umesoma wap o level?Am sorry jamani..kwani NJUKA ni nini?
Kaka,, hahah umenikumbusha mbali uko mitaa hiyo? sawa bwana njoo dar na wine hizo bwana,,,,,Halima Mdee una Chupa moja ya Wine hapa CHUCHU BAR pembeni ya CBE-Dodoma!
njuka ni wale wasiojua kanuni za Bunge.wauza sura ni wale wasiochangia bajeti kazi yao kupiga makofi tu!Bahati mbaya hatupati rekodi kamili ya alichosema Mdee. Tunapewa vi snippets vya neno moja moja halafu tunategemewa tujadili na tunarukia kujadili.Ametamka "njuka," kasema nani njuka? Kafanya nini "njuka"? Kuuza sura, nani kaambiwa anauza sura?
Inatakiwa auze nini?