Halima Mdee: Hatujaja Bungeni kuuza sura

Ni kweli Halima Mdee na wabunge wote wa Chadema hawakwenda bungeni kuuza sura watazungumza bila uoga wowote na kila kitu kinawekwa wazi,sio sawa na wabunge wa ccm kazi ni kumpongeza raisi mara Mkullo hata wanachokichangia hawajui.Mdee piga kazi Chadema go wananchi tupo nyuma yenu kwa lolote lile
 
adai wataandamana hadi kieleweke na wataendelea kutoa elimu kwa raia hadi kila mtu atende wajibu wake.
Hayo ndio maswala ambayo ccm inayaogopa sababu ya maovu Yao waliyokwisha kuyatenda na wanayoyatenda na wanayoyaazimia kuyatenda.ccm wanatamani sana Watanzania waendelee kuwa wajinga wapumbavu,masikini ili uwe mtaji wao wa kutukandamiza
 
bungeni ni sehemu ya heshima lugha za matusi hazifai...!!! sasa kwa nini tushabikie lugha zisizofaa katika bunge letu tukufu???

jamani tuwe waelewa wa mambo na siyo ushabiki usio na maaana.

hata huyo
halima hana lolote, naye ni mlopokaji kama walivyo walopokaji wengine kokote duniani
 
Damn, wameshakula umeme wao.
mpaka saa tano usiku si nitazimia mie bila mwanga.
ngoja nitafute njuka mmoja akaniletee mafuta ya taa ya sh mia hivi na ushee!!

Yaani mara waseme mgawo umeisha mara wanakata like hatujui which is which na hawatoa maelezo kwa wananchi, tunafanywa ka wajinga, wangekuja na kusema tuliwadanganya mgao upo!
 
Halima Mdee kwa kifupi analosema lazima liwaume ccm kwani wameenda bungeni kuuza sura wote wamepaka karolight sura zinangaa basi hakuna kingine ndio maana wakisimama kuchangia utasikia nampongeza rais , mkulo na kadhalika.
so stupid
 
Njuka (NJUUKA)ni neno la kikikuyu likiaamanisha mtu wa riika(RIKA) ya chini yako....Prof Ngugi alituletea mashuleni kupitia kitabu chake ''Weep not, my child''......si tusi wala jina lamtaani
 
CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,
hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?
Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!
Nakubaliana na kauli ya Mdee @ all but not SISIEMU
 
Back
Top Bottom