Halima Mdee: Hatujaja Bungeni kuuza sura

Halima Mdee: Hatujaja Bungeni kuuza sura

kuuza sura, njuka, kubangaiza, usheee:
ni maneno mageni kwa wana-Magamba; sijui wanaishi nchi gani.
 
Halima Mdee kambiwa afute kauli ya kuuza sura na njuka ingawa Spika aliwaambia wabunge kuwa muongozo wa Spika unatolewa mwisho wa mada ila CCM wao wanavunja hizo kanununi yaani ni vurugu tu.
 
Unafikiri watafanyaje! lengo lao anapozungumza mbunge wa cdm mahiri wao wanatafuta mianya ya kumvuruga
 
kwani alikuwa anamaanisha nini?navyojuwa njuka manake ni form one kipindi kile tulikuwa tukiitwa,then na sisi tukajapata njuka wetu mwaka uliofuata!
 
Damn, wameshakula umeme wao.
mpaka saa tano usiku si nitazimia mie bila mwanga.
ngoja nitafute njuka mmoja akaniletee mafuta ya taa ya sh mia hivi na ushee!!
 
Damn, wameshakula umeme wao.
mpaka saa tano usiku si nitazimia mie bila mwanga.
ngoja nitafute njuka mmoja akaniletee mafuta ya taa ya sh mia hivi na ushee!!

radio col aitoi mwanga babu....koroboi unalo?
 
asante dada Halima, wapashe hao ccm , waanze kuchemsha ubongo.
 
Back
Top Bottom