Halima Mdee, apokelewa kishujaa jimbo la Mtama kwa Nape

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
Baada ya Nape Kushindwa kufanya mkutano wa Hadhara Jimbo lake la Mtama haya hiki ni Kikao cha Jana Jimboni Mtama Kwa ajili ya Kumpokea Halima Mdee na Kufanya Mkutano wa Hadhara wa kuwashukuru wananchi wa Mtama
IMG-20160402-WA0050.jpg
IMG-20160402-WA0053.jpg
IMG-20160402-WA0051.jpg

Mwanahabari Huru
 
Watu hawana matumaini ya kuishi... Hali ngumu na hawaoni dalili za MIZIGO yao kutuliwa!!!
Ni kweli mkuu, na hakuna kitu kibaya kama kutawala jamii ambayo imekosa matumaini, hii wanaijua mababa wa familia pale ambapo mama na watoto wanakuwa wanaishi kwa kukata tamaa.

Lakini watawala wa Tanzania hii wanaifurahi sana, sijui kwa nini
 
Ndio maana mikutano ya kushukuru ilipigwa marufuku na Majaliwa.
 
Mwambieni dada halima "raha ya mechi ni bao", asubiri 2020, mliwaambia "wakule ccm wakalale chadema", hahaha wakala ...wakashiba na wakalala ccm moja kwa moja. Dada halima save your breath ts too early
 
Mwambieni dada halima "raha ya mechi ni bao", asubiri 2020, mliwaambia "wakule ccm wakalale chadema", hahaha wakala ...wakashiba na wakalala ccm moja kwa moja. Dada halima save your breath ts too early
Tusisigine Demokrasia
 
Mnajenga Nchi kwa 3% ya Mrabaha wa madin, Mnajenga nchi kwa kuwapandisha Twigwa kwenye ndege, +escrw, epa na matakataka kibao , endeleeni kula nchi mwisho upo
Hizi ngano unazohadithia zimeishapitwa na wakati mjomba...sasahivi hapa ni kazi tu. Gusa utumbuliwe...

Hizo ngano zenu toka mwaka 47 mnadhani bado zinalipa?. Poleni CCM yajenga nchi...
 
Dah, Inapendeza Na Inasisimua! Naona Wazee wa Kusigina wana jaribu kupambana ili kurudishia account zao Kama zilivyokua Kabla ya Kampeni..! Maisha yamekuja Kua magumu sana!
 
Back
Top Bottom