Halima Mdee apelekwa mahabusu

Status
Not open for further replies.
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
kwenu nyie wazungu wa unga wafirisi rasilimali za nchi yuko juu ya sheria anawabughudhi wakati nyie munafaidi kuku kwa mrija tayari kwa kujitanua kesho Dodoma kwa maandamano na matarumbeta
 
Hata akikaa huko siku kumi atarudi tu la maana wasimu mwakyembe tu Kesh atapewa headline za kutosha yeye akiswekwa ndani Nape na Kinana wanatanua iringa huko maandamano kwa raha zao

Halima anatumika vibaya tu na hajitambui. Wakubwa zake walishasema wao wanaogopa kukaa mbele maandamanoni yeye hajastuka tu! Kwenda ndani nakumbuka sana kale kawimbo ka Vitalis Maembe, "Sumu ya teja, sumu ya teja segerea, Ukuta upo, utashika bureee"
 

Ni selo au jela?
Lakini si ndio anapata umaarufu?
 
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...

Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..

nendeni mpigwe virungu
 
Ndivo haki inavodaiwa kutoka kwa maharamia ccm
 
na hvyo ana bas atatoka jela hiyo sauti imekauka kabisa ananena kwa ishara
 
Yuko gereza gani la aziz wangu halima nikamtoe?...dah..,serikali hii,mbona hamkunipigia kunambia kuwa kina mnyika wamemwacha keepleft.
am coming beibe,am coming am coooming,aaaam cooooominggg,
Akina Mobutu Gadafi , Sadamu walikuwa wanenjoy kama nyie munavyo enjoy lakini waliishia mapangoni na kuchomekwa majiti kwenye makalio ,Kikwete yeye anabarizi tu na wanawe hana shida lakini ipo siku
 
Bora afungwe kabisa......yaani ikiwezekana serekali imuweke mfuko wa nyuma kabisa, asiishie kwenye mfuko wa shati.
Nchi ya wanaume waoga kama wewe..ambao haki zako zinapiganiwa na wanawake..ww sijui unapikilishwa..
 
KAMA VIPI SEREKALI IFANYE KAMA ILIVYOFANYA KWA JAMAA ZETU WA UAMSHO.la sivyo kesho NAITISHA MAANDAMANO.
 
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Ufisadi ndio umeruhusiwa!
 
huu uonevu una mwisho Halima Mdee mwanaharakati wetu hakuna haki inayopatikana bila kupambana hata Nelson Mandela alifungwa miaka 27 mwisho wake Afrika kusini ilipata uhuru hakuna kuogopa kwenda mahabasu ni njia tuu za kuleta harakati TIME WILL TELL.

WAZALENDO MSIKATEE TAMAA MUDA WA UKOMBOZI UMESHAFIKA
 
Nchi ya wanaume waoga kama wewe..ambao haki zako zinapiganiwa na wanawake..ww sijui unapikilishwa..

UMEJUWAJE KAMA MIMI NI MUOGA hio A, na B UMEJUWAJE KWAMBA MDEE ANAPIGANIA AU ANALIPA FEDHA ZA WATU.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…