Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
Mbunge mmoja wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA amepelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya dhamana mahakamani.
Halima Mdee ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la wanawake wa chama hicho pamoja na wenzake wanane, walifikishwa kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakituhumiwa kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku.
Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam Baruan Muhuza amefanya mahojiano na msemaji wa chama hicho Tumaini Makene ambaye kwanza anaelezea kwanini Mbunge huyo amekosa dhamana?
Chanzo: BBC Swahili
Dhamana ilikuwa ipo wazi Ila alienda kuthibitisha wadhimini kwenye waajiri wao hajarudi hadi sasa.
uzushi Hui
shutuma hi I
uchochezi mkubwa!
Jela au mahabusu?
Breaking Newz: Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..
Dhamana ilikuwa ipo wazi Ila alienda kuthibitisha wadhimini kwenye waajiri wao hajarudi hadi sasa.
Serikali ya CCM imefikia mwisho wake. Dalili zote zinaonyesha... wame-panick kitu chochote au mtu yoyote mwenye mawazo tofauti anaonyeshwa cha mtema kuni. Mpaka lile bango la maandamano ya waalimu kwao lilikuwa ni tishio...Dalili za dola kukaribia mwisho wake...Breaking Newz: Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..
Hata akikaa huko siku kumi atarudi tu la maana wasimu mwakyembe tu Kesh atapewa headline za kutosha yeye akiswekwa ndani Nape na Kinana wanatanua iringa huko maandamano kwa raha zaoDhamana ilikuwa ipo wazi Ila alienda kuthibitisha wadhimini kwenye waajiri wao hajarudi hadi sasa.
Breaking Newz: Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..
Nani alienda?
Bora afungwe kabisa......yaani ikiwezekana serekali imuweke mfuko wa nyuma kabisa, asiishie kwenye mfuko wa shati.
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza