Halima mdee anaongea kama Nani nahana Chama

Anyways.....
Unataka ofisi au mamlaka ya Bunge liingilie ugomvi wa Mdee na chama chake...🤔
 
Halima akili kubwa

Spika amejikuta anafanya kazi ya Jensiter Muhagama na Majaliwa kutetea Mkataba badala ya kusimamia Mjadala

kumbe TPA wanaachiwa kazi ya kusimamia boti za Bakhresa tu na Wavuvi wa uduvi kule vijibweni

nimemsikiliza Halima Hames Mdee japo kazuiwa kuendelea kuzungunza nimejiridhisha pasi na shaka kuwa Mkataba wa Berlin wa 1884 umehuishwa Dubai mwaka huu.


yaani Refa wa Fainali anakuwa kocha wa timu mojawapo inayocheza

hii style ya kuomba muongozo ili kumtoa kwny reli Mzungumzaji huwa inanikera sana sana Wallah
 
😂😂 Nimemsamehe Halima Mdee kwa yote aisee

Spika uzalendo ukamshinda🤩🤩
 
CCM Oyeeee
 
akili kubwa kwa kuongea kwa sauti au? maana anaulizwa anachokisema kumeandikwa wapi kwenye huo mkataba anabaki kujingatangata
 
[emoji23][emoji23] Nimemsamehe Halima Mdee kwa yote aisee

Spika uzalendo ukamshinda[emoji2956][emoji2956]
Mods watengue kanuni za Jf turuhusiwe kutukana angalau kwa leo …nafsi inakereketa sana na sikuwa kujua extent ninayipenda Nchi yangu kama leo

mbona kuna watu wametengua sheria kuruhusu wizi …i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…