Halima Mdee alivunja katiba ya BAWACHA uteuzi viti maalum aondolewe

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Uteuzi wa wabunge wa viti maalum Chadema inabidi mapendekezo yake yafanyiwe kazi na halmashauri kuu na mkutano mkuu wa BAWACHA.

Halima Mdee kama mwenyekiti hakuitisha kikao cha halmashauri kuu wala mkutano mkuu kupitisha hayo majina ya viti maalumu.

Hao viti maalumu walipatikana kinyume cha katiba ya BAWACHA
 
Mkuu,kwa nini suala hili usilipeleke kwenye vikao vyenu vya Chama? Maana wanasiasa sio watu wa kuaminika 100%,huenda kuna ukweli lakini hapa sidhani kama ni sahihi sana.
 
Uteuzi wa wajumbe wa viti maalum Chadema inabidi mapendekezo yake yafanyiwe kazi na halmashauri kuu na mkutano mkuu wa BAWACHA.

Halima Mdee kama mwenyekiti hakuitisha kikao cha halmashauri kuu wala mkutano mkuu kupitisha hayo majina ya viti maalumu.

Hao viti maalumu walipatikana kinyume cha katiba ya BAWACHA

ndugu, uchaguzi ulishapita, tuzungumze yanayotusibu kama watanzania, changamoto za kiuchumi na mengine kama hayo, tukikaa kuzungumzia uchaguzi miaka nenda rudi tutadai hata naibu spika uteuzi wake utenguliwe, tutadai kila mtu atenguliwe sasa tutakua tunarudi nyuma kila kukicha, hebu tusonge mbele tuache ujinga
 
Wewe pashkuna Ni mwanachama WA Chadema?

Mimi ni mlipa kodi ambaye kodi zangu ndio viti maalumu wanalipwa posho nk pia usisahau ruzuku CHADEMA wanazotumia mimi pia ni mchangiaji kupitia kodi yangu.

Kama hawajaingia kihalali ni haki yangu kuhoji.
 
Mkuu naona unataka kututoa nje ya mstari kuhusu uhaba wa sukari na mgao wa umeme. Tunauziwa sukari kilo sh 3000 kisa ukurupukaji wa serikali kuzuia sukari ya nje na tunateseka na mgao wa umeme kisa Tanesco kushindwa kuilipa Song as! Tunataka sukari na umeme acheni blah blah.
 
Hapa napo unalipwa buku 7,hell no!kaje upya

Mkuu hoja hapa ni kufuatwa kwa taratibu za uteuzi wbunge viti maalumu, kabla hujasema malipo anayopata kwanini usifafanue ukweli wa mambo ulivyo ili hata sie tusiojua tuhabarike.
 
Kuna watu humu kazi yao kutetea uovu ndani ya CHADEMA kwani wana maslahi binafsi

CHADEMA kinaitwa chama cha demokrasia.Kwenye uteuzi wa WABUNGE viti maalumu demokrasia haikuzingatiwa.Ilitakiwa majina yapelekwe halmashauri kuu ya BAWACHA ijadili na ipeleke mapendekezo yake mkutano mkuu ambao ungetoa maamuzi.Hayo hayakufanyika.Hiyo demokrasia iko wapi?

Kazi ya mwenyekiti ni kusimamia katiba.Hakufanya hivyo.
 
Uteuzi wa wabunge wa viti maalum Chadema inabidi mapendekezo yake yafanyiwe kazi na halmashauri kuu na mkutano mkuu wa BAWACHA.

Halima Mdee kama mwenyekiti hakuitisha kikao cha halmashauri kuu wala mkutano mkuu kupitisha hayo majina ya viti maalumu.

Hao viti maalumu walipatikana kinyume cha katiba ya BAWACHA
Unaelewa viti maalumu vinavyopatikana?Na wawakilishi wa BAVICHA je?Tushirikishe ubongo na kusoma vitu ambavyo ni straight foward
 
BAVICHA nao mapendekezo yao wanapeleka wapi?Unashupaa akili kujibu vitu ambavyo hauvijui?
 
Unaelewa viti maalumu vinavyopatikana?Na wawakilishi wa BAVICHA je?Tushirikishe ubongo na kusoma vitu ambavyo ni straight foward

Naongelea BAWACHA sio BAVICHA hii uliyoandika wewe.
 
Uteuzi wa wabunge wa viti maalum Chadema inabidi mapendekezo yake yafanyiwe kazi na halmashauri kuu na mkutano mkuu wa BAWACHA.

Halima Mdee kama mwenyekiti hakuitisha kikao cha halmashauri kuu wala mkutano mkuu kupitisha hayo majina ya viti maalumu.

Hao viti maalumu walipatikana kinyume cha katiba ya BAWACHA

Hivi kuna katiba ya BAWACHA?
 
Kuna watu humu kazi yao kutetea uovu ndani ya CHADEMA kwani wana maslahi binafsi

CHADEMA kinaitwa chama cha demokrasia.Kwenye uteuzi wa WABUNGE viti maalumu demokrasia haikuzingatiwa.Ilitakiwa majina yapelekwe halmashauri kuu ya BAWACHA ijadili na ipeleke mapendekezo yake mkutano mkuu ambao ungetoa maamuzi.Hayo hayakufanyika.Hiyo demokrasia iko wapi?

Kazi ya mwenyekiti ni kusimamia katiba.Hakufanya hivyo.

kwani naibu spika alikuwa na vigezo vya kuwa pale alipo?
 
wakiambia viti maalumu mpaka wawe mababy wanalalamika wanadhalilishwa badala ya kulalamika wangesema vigezo wanavyotumia kuteua wabunge wa viti maalumu kama ile ya mgombea urais kupewa viti 4 halafu mnalalamika mnadhalilishwa
 
Back
Top Bottom