H Hel Member Joined Aug 25, 2015 Posts 85 Reaction score 12 Sep 15, 2015 #101 The Mockingjay said: Acha siasa! Halima amepata msiba mkubwa. RIP Mtoi  Click to expand... Pole ziende kwa ndugu na jamaa wa Mtoi, lakini itapendeza zaidi kama mdee ataonekana kwenye kioo kuzungumzia hiyo mada ya mienendo ya kampeni
The Mockingjay said: Acha siasa! Halima amepata msiba mkubwa. RIP Mtoi  Click to expand... Pole ziende kwa ndugu na jamaa wa Mtoi, lakini itapendeza zaidi kama mdee ataonekana kwenye kioo kuzungumzia hiyo mada ya mienendo ya kampeni
M magufuliforpresident Senior Member Joined Aug 18, 2015 Posts 159 Reaction score 59 Sep 15, 2015 #102 ila wabongo bwana , kunya anye kuku akinya bata kaharisha,
A Arie power JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 2,552 Reaction score 1,021 Sep 15, 2015 #103 Simiyu Yetu said: Mwaka huu pia halima anawakati mgumu sana jimboni kwake anatetemeka kama Lowasa. Click to expand... Muone huyu hata akiulizwa ataje maeneo manne ya jimbo lake hajui alafu abashabikia eti ana wakati mgumu, kwa taarifa yako mdee 2010 tulimpeleka bungeni na mwaka huu tutampigia kura nyingi na atashinda kwa kishindo, subiri Oct 25 utatuelewa tu
Simiyu Yetu said: Mwaka huu pia halima anawakati mgumu sana jimboni kwake anatetemeka kama Lowasa. Click to expand... Muone huyu hata akiulizwa ataje maeneo manne ya jimbo lake hajui alafu abashabikia eti ana wakati mgumu, kwa taarifa yako mdee 2010 tulimpeleka bungeni na mwaka huu tutampigia kura nyingi na atashinda kwa kishindo, subiri Oct 25 utatuelewa tu