ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,304
- 50,097
Kwa hili natoa kongole nyingi kwa Halima Mdee..
Ni aibu Nchi imejaa Migogoro ya Ardhi na Ujenzi holela harafu Tume ya Ardhi inatengewa pesa kiduchu na Wanasiasa wanatengeana mabilioni ya posho kwenye Wizara hiyo hiyo..
Huyu Waziri wa hii Wizara hatoshi..
My Take
Serikali Undeni Wakala wa Mipango Miji na Land administration Tanzania au badilisheni Muundo na majukumu ya tume ya Ardhi Ili ndio washughulike na issues za Ardhi..
Mbona Tarura,Ruwasa nk mumeunda ,huku kwenye Ardhi Kuna kigugumizi gani?
Njia yeyote iliyotumika,tunangalia content yake..Mkuu huyo mbunge aliingia bungeni kwa njia gani ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ni mbunge wa viti maalumu kupitia ChademaMkuu huyo mbunge aliingia bungeni kwa njia gani ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huyu Mabula sijawahi muelewa anachofanya,hii tabia ya kuweka msawazo.wa Waziri Kila Mkoa sio sawa matokeo yake ndio haya tunakuwa na Mawaziri wasiojielewa.William Lukuvi aliiweza sana hii wizara.
Hawa wengine ni shida tu.
wamrudishe lukuvi hiyo wizara huyo anjelina haiwezi.ni wizara inayonuka rushwa kila kona.hakuna msafi kwenye wizara hiyo.raisi amefuta adhabu kwenye kodi ya ardhi lkn ukienda ardhi bado wanakuwekea maadhabu ya miaka ya nyuma kiasi kwamba walipaji wameamua kugoma kulipa na wanasema liwalo liwe.ni ajabu sana inaonekana rais pia hana nguvu ya maamuzi.DONDA NDUGU Ardhi wanauziwa Raia wa kigeni na hakuna monitoring.
MAAFISA wapo ofisini KAZI Yao kuombaomba Rushwa.
Njia yeyote iliyotumika,tunangalia content yake..
Bila Nyerere kuwakatalia Wananchi kwenye matokeo ya maoni ya Vyama vingi au hapana hata wewe ungekuwa mwana ccm saizi..
Ni mbunge wa viti maalumu kupitia Chadema
Nyerere hakukubali mfumo wa vyama vingi kwa wema, bali aliujua ukweli kuwa watu walioongozwa na CCM kwa shuruti. Hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura halina ubavu wowote wa kusema na serikali ikatii. Yote ni kwasababu serikali inajua ina bunge kiini macho, kutokana na ule uhayawani wa 2020.Njia yeyote iliyotumika,tunangalia content yake..
Bila Nyerere kuwakatalia Wananchi kwenye matokeo ya maoni ya Vyama vingi au hapana hata wewe ungekuwa mwana ccm saizi..
Yaani ww mzee kweny hoja za msingi za kukemea mbogamboga crew kamwe huez kemea!! Zije hoja za jamaa wa ufipa sasa utaongea mpaka utapike ulimi 🤣🤣🤣🤣Ni jambo jema
Kwani wewe umeona Halima Yuko Bungeni Kwa ubaya?Nyerere hakukubali mfumo wa vyama vingi kwa wema, bali aliujua ukweli kuwa watu walioongozwa na CCM kwa shuruti. Hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura halina ubavu wowote wa kusema na serikali ikatii. Yote ni kwasababu serikali inajua ina bunge kiini macho, kutokana na ule uhayawani wa 2020.
Wote ndio walewale hakuweza chochote kama angeweza si migogoro ingeisha,binafsi familia yetu iliporwa kiwanja eneo maarufu na kila tulipoomba kuonana naye alikuwa akitusukumizia kwa kamishna wakati huyo kamishna ni miongoni mwa walioshiriki mchezo mchafu,sema alikuwa mtu wa maigizo kama bosi wake.William Lukuvi aliiweza sana hii wizara.
Hawa wengine ni shida tu.
kwa njia kuteuliwa na chama chake chadema. au muulize mbowe au mnyika.Mkuu huyo mbunge aliingia bungeni kwa njia gani ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Yeye ni matokeo ya uhuni wa dhalimu.Kwani wewe umeona Halima Yuko Bungeni Kwa ubaya?