Invisible nilimwambia kuhusu lile tatizo naona hadi Leo kimya , Sijui chochote aisee
ukiona hivyo ujue ombi lako limetupiliwa mbali...........
Kimwana si ndio anaemkuwadia domo totoz
Imeelezwa kuwa Diamond hapindui kwa halima kimwana kutokana na ukaribu wao wa mda mrefu, Wakati mpenzi wake Wema sepetu akiwa hapatani na kimwana kama paka na panya, hiyo haijasababisha Diamond kuwa mbali na kimwana, kwani ameshawahi kukiri kuwa hakuna atakayeweza kuwatenganisha na best wake huyo wa long time.
Kama ilivyo kwa kimwana, Diamond hawezi kupindua kwa wema sepetu .wakati kimwana yupo very close na familia ya Dangote, kitendo ambacho kinamuumiza zaidi madame kwani familia ya diamond imekuwa ikimchukia madame na kumkubali zaidi penny na halima, kitendo kinachomfanya penny awe karibu na kimwana kwni anajua fika diamond hapindui kwa kimwana.
Hivi huyu Diamond hii style ya kurembua mdomo ni vipi tena?
ukiona hivyo ujue ombi lako limetupiliwa mbali...........
Kimwana si ndio anaemkuwadia domo totoz
Chezea Microphone !!? 😉 Lazima mdomo upinde..
Namaanisha ya kuimbia..hehe 😀
chezea mic wewe!?!!?
Hivi huyu Diamond hii style ya kurembua mdomo ni vipi tena?
mapengo kimwana amuache wema apumue
Chezea Microphone !!? 😉 Lazima mdomo upinde..
Namaanisha ya kuimbia..hehe 😀
chezea mic wewe!?!!?
Labda ni ishara ya usupastaa
Huyo halima na wema wote wachawi kutwa kushinda kwa waganga kumloga ndomo
Hahaa basi hatari ,akifikia level za Dbanj sijui mdomo utatoa ishara gani.
Huyo halima na wema wote wachawi kutwa kushinda kwa waganga kumloga ndomo