Hali yangu kiafya si nzuri. Maombi yenu Wakuu

Mkuu nilimpigia wife simu nikamwambia kwa hali nayoiona ingewa ni kwa mtoto Basi Ni majaliwa yake Mungu.
Ulipomwambia wife hivyo kwanini hakuja Mara moja?

Kabla ya kwenda migombani hakujua kuwa hali yako sio nzuri ili abaki nawewe?

BTW, Mungu wa mbinguni akuponye na kukufanya mzima tena ili uendelee kumuabudu.
 
Loving God....
Please heal this broken heart. Fill him with the peace and joy I know can only come from You during this hard time. Walk closely beside him during his journey to healing and recovery that I know is possible through Your power alone... In Jesus' Name.......
Amen....
Amen
 
Tatizo lilianzia jumamosi kichwa kilianza kuuma gafla.Jumapili nikawahi Zahanati wakanipa Mseto nikaanza kupiga siku hiyo hiyo,jumanne nikamaliza,Jumatano nikawa nashindwa kugeuka miguu na mgogo pmoja na shingo hatari Sana,ukiniita nageuka Kama robot.Nikaona isiwe shida nikaenda Zahanati Dr ananiambia malaria inaisha.Alhamisi nikaona na hema kama mtu mwenye Athma nikaenda Tena wakaniambia ni UTI nikapewa Cipro wakuu Ijumaa Hali si Hali nakumbuka nilichangia thread moja humu ya mtu kuuguliwa na mkewe the same case.Nikajifanya asubuhi kupasha kifua kilifunguka kidogo.Jioni Hali si Hali nakumbuka Jioni mkuu BAK Aliniambia nikafanye vipimo.Sasa Leo nikaingia Hosp kufanyiwa checkup siumwi chochote.Hapa Sasa napumua kwa shida nakohoa kikohozi kikavu kichwa kinapasua si mchezo nimepoteza hamu ya kula.Kibaya zaidi Shemeji yenu Yuko migombani huko.Nimetoka Hosp ikabidi nijisalimishe Kanisani kwa Katunzi.Mala ya mwisho kuingia church ilikuwa 2010.Hakika maisha matamu na kifo kinatisha nimejikuta Niko Mtoni mtongani.Wakuu maombi tafadhali.
Mkuu, nenda Kairuki hospital watakuwekea mashine ya mvuke ambayo mwenzangu ilimsaidia kwa sasa kikohozi kinakata ila tu mafua bado anayo.

Kimbia Kairuki fasta utakuta huko wenzako wenye hali kama hiyo wapo wakutosha kabisa. Ukizembea huwa hiyo homa haikati kizembe yani inakusumbua mpaka inakushikisha adabu.
 
Nilikuwa na hali kama yako mkuu...Christmas yenyewe nimeilia kitandani..nilipima mpaka corona hakuna kitu..mwishowe nikapewa amplicox ndizo zimeokoa jahazi lisizame.
 
Tatizo lilianzia jumamosi kichwa kilianza kuuma gafla.Jumapili nikawahi Zahanati wakanipa Mseto nikaanza kupiga siku hiyo hiyo,jumanne nikamaliza,Jumatano nikawa nashindwa kugeuka miguu na mgogo pmoja na shingo hatari Sana,ukiniita nageuka Kama robot.Nikaona isiwe shida nikaenda Zahanati Dr ananiambia malaria inaisha.Alhamisi nikaona na hema kama mtu mwenye Athma nikaenda Tena wakaniambia ni UTI nikapewa Cipro wakuu Ijumaa Hali si Hali nakumbuka nilichangia thread moja humu ya mtu kuuguliwa na mkewe the same case.Nikajifanya asubuhi kupasha kifua kilifunguka kidogo.Jioni Hali si Hali nakumbuka Jioni mkuu BAK Aliniambia nikafanye vipimo.Sasa Leo nikaingia Hosp kufanyiwa checkup siumwi chochote.Hapa Sasa napumua kwa shida nakohoa kikohozi kikavu kichwa kinapasua si mchezo nimepoteza hamu ya kula.Kibaya zaidi Shemeji yenu Yuko migombani huko.Nimetoka Hosp ikabidi nijisalimishe Kanisani kwa Katunzi.Mala ya mwisho kuingia church ilikuwa 2010.Hakika maisha matamu na kifo kinatisha nimejikuta Niko Mtoni mtongani.Wakuu maombi tafadhali.
Pole sana,I hope hapo Mtoni umekutana na uponyaji.Ulifanya la maana kujisalimisha hapo
 
Ulipomwambia wife hivyo kwanini hakuja Mara moja?

Kabla ya kwenda migombani hakujua kuwa hali yako sio nzuri ili abaki nawewe?

BTW, Mungu wa mbinguni akuponye na kukufanya mzima tena ili uendelee kumuabudu.
Mkuu nashukuru Mungu Niko vizuri Sasa.
 
Mkuu, nenda Kairuki hospital watakuwekea mashine ya mvuke ambayo mwenzangu ilimsaidia kwa sasa kikohozi kinakata ila tu mafua bado anayo.

Kimbia Kairuki fasta utakuta huko wenzako wenye hali kama hiyo wapo wakutosha kabisa. Ukizembea huwa hiyo homa haikati kizembe yani inakusumbua mpaka inakushikisha adabu.
Mkuu nashukuru Niko vizuri Sasa.
 
Ndugu, hiyo kupumua kwa shida ndio hali niliyonayo tangu wiki iliyopita ila mimi sijakubali kulala na nzuri zaidi ni kazi ninayoifanya, ninakula sana mvuke wa moto ninakula sana pilipili
Ila bado siko sawa, najua nikikubali tu kulala, ninaharibu kila kitu
 
Back
Top Bottom