Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,147
- 1,405
Umeme kukatika kwa muda mrefu bila taarifa.
Umeme kukatikatika kama mtoto anachezea kiwashio
Madeni lukuki ya shirika.
Mh Rais lifute hili shirika kwa maana limeshafilisika. Huyo mkurugenzi aliyepo hapo nae ndiyo ameshindwa kazi, labda kama bado anaikamilisha ya u double agent..kazi maalum nachoamini kwa data alizonazo inatosha.
Kuanza moja sio ujinga. Tuwaachie wale wanaoona shirika hili labda liende kwao. Kitu ambacho hakuna atakayelitaka hata kwa kuligawa bure.
Nakumbuka ahadi yako pale Kinyerezi...