Hali ya umasikini Tanzania imepungua

Hali ya umasikini Tanzania imepungua

mr chongo

New Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
0
Reaction score
1
Jamani mimi kwa mtazamo wangu wangu na chama changu CCM kwa kweli Watanzania sasa umaskini umepungua sana vijana wengi sasa wana ajira hata wizi na ukabaji vimepungua sana mishahara ina wahi hakuna migomo tena barabara za lami kedekede mazao bei ni nzuri wakulima shambani ni vicheko tu ukienda hosptal huduma bora na za viwango Mungu bariki sana chama chetu CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom