NyotaMalaika
Senior Member
- Aug 6, 2012
- 167
- 78
Mikoani.mbona mmepanic.Hizi ni takwimu za mjini au vijijini?
Maana kama ni mpaka vijijini, pwani na Arusha, au Lindi na Dodoma.........nina mashaka
Hivyo vijiji vya mkoa wa pwani au Dodoma unavijua? Halafu viwe juu ya vijiji vya Bukoba au Geita...si maajabu hayo