Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,393
- 1,217
- Thread starter
- #21
Aisee umenikumbusha, hivi tunapata nini kwenye AGOA!?!?, maana nilisikia kipindi fulani wakubwa walianza kunung'unika kwamba hiyo nafuu ilkuwa yetu kwa ajili ya watz tu lakini wachina wakaja EPZ wakaanza kufaidi nafuu ya AGOA ilikuwaje hapo?!? na leo tunapata nini kama TZ?!?Aisee wewe unaishi wapi, hata mkataba wa Agoa alitupiwa virago