Hapana tunatofautiana sekta waweza sekta yako ikawa inanufaika zaid ya wengine wananchi wanachotaka ni kwamba ata kama kuna ugumu wa maisha ila angalau kuwe na average ya consistence ya kimaisha katika sekta na biashara tofaut sio moja kubwa zote ndogo hapana.Wandugu msitishwe na taarifa uchwara za baadhi ya watu kuhusu hali ya uchumi wa nchi.
Ni kweli kuna mambo kadhaa yamesimama hii ni kwasabbu serikali bado ina fanya maandalizi ya uchumi thabiti wa nchi.
Serikali imejielekeza zaid ktk kukusanya kodi iliiweze kutoa huduma kwa ufasaha.
Sambamba na hilo serikali inaendelea kuhakiki wafanyakazi wake na zoezi hili litakamilika mwishoni mwa mwenzi huu.
Hivyo ajira zitalejea kama kawaida.
Anayesema uchumi umeshuka anazungumza kisiasa zaid na niwakuupuzwa.
Tujikite ktk kufanyakazi kwa bidii ilikujiinua kiuchumi tuache kushinda mitandaoni na kutoa lawama zisizo na mshiko.
Nawakilisha
Mkuu labda ungesaidia kutufafanulia wengine ambao sio wataalamu wa masula ya uchumi ; Ungetufafanulia ajira zimeongeza kwa kiasi gani , ungefafanua pia exports na viwanda vimeongezeka kwa kiasi gani , pato la taifa je liko vipi ? Akiba yetu ya fedha za kigeni ikoje ?...maana kwa uchumi wetu wa kukariri hivyo ndo mojawapo ya viashiria kwamba uchumi unafanya vizuri....saidia kwa hali ya hayo machache mkuuWandugu msitishwe na taarifa uchwara za baadhi ya watu kuhusu hali ya uchumi wa nchi.
Ni kweli kuna mambo kadhaa yamesimama hii ni kwasabbu serikali bado ina fanya maandalizi ya uchumi thabiti wa nchi.
Serikali imejielekeza zaid ktk kukusanya kodi iliiweze kutoa huduma kwa ufasaha.
Sambamba na hilo serikali inaendelea kuhakiki wafanyakazi wake na zoezi hili litakamilika mwishoni mwa mwenzi huu.
Hivyo ajira zitalejea kama kawaida.
Anayesema uchumi umeshuka anazungumza kisiasa zaid na niwakuupuzwa.
Tujikite ktk kufanyakazi kwa bidii ilikujiinua kiuchumi tuache kushinda mitandaoni na kutoa lawama zisizo na mshiko.
Nawakilisha
Hata wewe umezungumza kisiasa na unapaswa kupuuzwa! Sijaona ukielezea huo uchumi ulivyopanda kwa vielelezo. Mambo ya kitaalamu uwaachie wanaojua au uwaulize kwanza wakupe shule ya kutosha ndio uje humu. Hatuwezi kujua kila kitu, mengine lazima tujifunze kutoka kwa wanaojua.Wandugu,
Msitishwe na taarifa uchwara za baadhi ya watu kuhusu hali ya uchumi wa nchi. Ni kweli kuna mambo kadhaa yamesimama hii ni kwasababu serikali bado ina fanya maandalizi ya uchumi thabiti wa nchi.
Serikali imejielekeza zaidi katika kukusanya kodi iliiweze kutoa huduma kwa ufasaha. Sambamba na hilo serikali inaendelea kuhakiki wafanyakazi wake na zoezi hili litakamilika mwishoni mwa mwenzi huu.
Hivyo ajira zitarejea kama kawaida.
Anayesema uchumi umeshuka anazungumza kisiasa zaidi na niwakuupuzwa.
Tujikite katika kufanyakazi kwa bidii ilikujiinua kiuchumi tuache kushinda mitandaoni na kutoa lawama zisizo na mshiko.
Nawakilisha
akikujibu hapa walah ntakupa vocha ya 10000Mkuu labda ungesaidia kutufafanulia wengine ambao sio wataalamu wa masula ya uchumi ; Ungetufafanulia ajira zimeongeza kwa kiasi gani , ungefafanua pia exports na viwanda vimeongezeka kwa kiasi gani , pato la taifa je liko vipi ? Akiba yetu ya fedha za kigeni ikoje ?...maana kwa uchumi wetu wa kukariri hivyo ndo mojawapo ya viashiria kwamba uchumi unafanya vizuri....saidia kwa hali ya hayo machache mkuu
sasa wewe mwenyewe unakiri kama baadhi ya mambo yamesimama! halafu unasema wanaotoa taarifa ni uchwara ,uko serious kweli wewe!Wandugu,
Msitishwe na taarifa uchwara za baadhi ya watu kuhusu hali ya uchumi wa nchi. Ni kweli kuna mambo kadhaa yamesimama hii ni kwasababu serikali bado ina fanya maandalizi ya uchumi thabiti wa nchi.
Serikali imejielekeza zaidi katika kukusanya kodi iliiweze kutoa huduma kwa ufasaha. Sambamba na hilo serikali inaendelea kuhakiki wafanyakazi wake na zoezi hili litakamilika mwishoni mwa mwenzi huu.
Hivyo ajira zitarejea kama kawaida.
Anayesema uchumi umeshuka anazungumza kisiasa zaidi na niwakuupuzwa.
Tujikite katika kufanyakazi kwa bidii ilikujiinua kiuchumi tuache kushinda mitandaoni na kutoa lawama zisizo na mshiko.
Nawakilisha
Hahahaha! Yaani nimechempaka mpaka ofisini wananishangaa! Niseme hivi nipo serious katk hiloWee uwe unabaki tuu kule Mmu na Chit-Chat huku waachie watu wenye akili zao.
Umedangisha mpapa ukahongwa elfu hamsini unakuja spidi huku kusema uchumi umeimarika.
Kila mtu ana Uhuru wa kuongea, halafu mm ni member kama wewe sichaguliwi jukwaa. Huna haja ya kutokwa povu nenda kafanye kazi kuinua uchumi wako badala ya kukesha kwenye mtandao na kutoa mapovusasa wewe mwenyewe unakiri kama baadhi ya mambo yamesimama! halafu unasema wanaotoa taarifa ni uchwara ,uko serious kweli wewe!
Au leo umepotea jukwaa? mara nyingi unakuwa kule MMU......
Unaongea uchumi wa nchi hii kama nani? na una utaalamu gani?