Hali ya uchumi ni mbaya, wachumi fanyeni tafiti

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
453
Wakuu nawasilimu nyote; natumaini wengi humu ni wazima kabisa na mnaendelea kuwajibika ktk shughuli za kujenga taifa letu. Ningependa kutoa maoni yangu hapa nn kifanyike ili watalaam wa fedha nchini wajiridhishe kwamba hali ya uchimi ni ngumu na nn kifanyike ili kunusuru hali hii kabla haijaleta madhara zaidi. (1). Benki kuu wafanye tafiti za uwekaji fedha ktk mabenki kama yanaendana na kasi iliyokuwapo miaka ya hivi karibuni. Na waje na sabubu za msingi kwa nn kwa sasa mabenki mengi yamekosa wateja. (2) mabenki yafanye tafiti, je ni kweli watu wengi wamesusa kuweka fedha zao benki? Au ni mzunguko wa fedha kwenye biashara za kawaida zimekosekana, (3)waalimu wa uchumi watumie kipindi hiki ambacho waislam wamefunga mfungo wa ramadhan, kupata jibu sahihi ya mzungungo wa biashara kwenye biashara ndogo ndogo, k.m baa, maduka ya vyakula, maduka ya mavazi endapo takwimu zake zitakuja kubadilika baada ya idd, na kama zitabadilika ni kwa kiasi gani. Baada ya hapo waje na mapendekezo yatakayo wawezesha wadau wote wa uchumi kuchukua hatua stahiki kwa ajili ya kunusuru hali hii ya uchumi kwa sasa. N.B tukumbuke uchumi wa nchi ukiporomoka sana, kuja kutengemaa itachukuwa muda mrefu sana. Maoni yangu ni kwamba tunatakiwa kuchukuwa hatua mapema. Waswahili walisema, 'usipoziba ufa; utajenga ukuta' naomba kuwasilisha.
 
Tumetoka na makinikia Kwasasa tupo na Iptl, hebu tuache kwanza tufanye kazi ya kuoonyosha nchi, hilo tutaliangalia baadae

Nalo hili ni muhimu mkuu; mwisho wa siku tutashindwa hata kushughulika na hayo makanikia kama hali ya mifukoni ni mbaya.
 
Uchumi unakua kwa 8%!!
6bb543e6c9d40b9298130792b1d5cbf6.jpg
 
sabab zinajulikana sana na bad
Wakuu nawasilimu nyote; natumaini wengi humu ni wazima kabisa na mnaendelea kuwajibika ktk shughuli za kujenga taifa letu. Ningependa kutoa maoni yangu hapa nn kifanyike ili watalaam wa fedha nchini wajiridhishe kwamba hali ya uchimi ni ngumu na nn kifanyike ili kunusuru hali hii kabla haijaleta madhara zaidi. (1). Benki kuu wafanye tafiti za uwekaji fedha ktk mabenki kama yanaendana na kasi iliyokuwapo miaka ya hivi karibuni. Na waje na sabubu za msingi kwa nn kwa sasa mabenki mengi yamekosa wateja. (2) mabenki yafanye tafiti, je ni kweli watu wengi wamesusa kuweka fedha zao benki? Au ni mzunguko wa fedha kwenye biashara za kawaida zimekosekana, (3)waalimu wa uchumi watumie kipindi hiki ambacho waislam wamefunga mfungo wa ramadhan, kupata jibu sahihi ya mzungungo wa biashara kwenye biashara ndogo ndogo, k.m baa, maduka ya vyakula, maduka ya mavazi endapo takwimu zake zitakuja kubadilika baada ya idd, na kama zitabadilika ni kwa kiasi gani. Baada ya hapo waje na mapendekezo yatakayo wawezesha wadau wote wa uchumi kuchukua hatua stahiki kwa ajili ya kunusuru hali hii ya uchumi kwa sasa. N.B tukumbuke uchumi wa nchi ukiporomoka sana, kuja kutengemaa itachukuwa muda mrefu sana. Maoni yangu ni kwamba tunatakiwa kuchukuwa hatua mapema. Waswahili walisema, 'usipoziba ufa; utajenga ukuta' naomba kuwasilisha.
sababu zinajulikana saana tu ila tatizo dereva hashauriki kukata kona. kila ukipiga kelele unambiwa mwizi na kwa sabab watanzania wengi tunafurahi tunapoona aliyefanikiwa akiporomoka basi kila mtu ambaye analalamika ni mwizi. unapoachisha watu jazi almost 12000kwa wakati mmoja jua italeta multiplier effect.
multiplier effect ni nin?
haya n madhara ambatanishi yatayotokana na huyo mtu kutokuwepo. hasara kubwa hasa iko kwa wale waliochukua mikopo hapa makampuni ya bima wanashughuli maana itabid wafidie madeni ya mikopo hiyo na kwa watu 12000,mhh ni mabilion.
kingine uwezo wa kimanunuz unapotea maana hawa watu walikuwa wanalipia ada,kununua vyakula,ujenzi,kodi matokeo yake uo uwezo umetoweka ghafla na hakuna wa kufidia hasara kwa wafanyabiashara nao wakapunguza wafanyakazi,hali itazid mara dufu
 
Back
Top Bottom