Hali ya uchumi ni mbaya, wachumi fanyeni tafiti

Wakuu nawasilimu nyote; natumaini wengi humu ni wazima kabisa na mnaendelea kuwajibika ktk shughuli za kujenga taifa letu. Ningependa kutoa maoni yangu hapa nn kifanyike ili watalaam wa fedha nchini wajiridhishe kwamba hali ya uchimi ni ngumu na nn kifanyike ili kunusuru hali hii kabla haijaleta madhara zaidi. (1). Benki kuu wafanye tafiti za uwekaji fedha ktk mabenki kama yanaendana na kasi iliyokuwapo miaka ya hivi karibuni. Na waje na sabubu za msingi kwa nn kwa sasa mabenki mengi yamekosa wateja. (2) mabenki yafanye tafiti, je ni kweli watu wengi wamesusa kuweka fedha zao benki? Au ni mzunguko wa fedha kwenye biashara za kawaida zimekosekana, (3)waalimu wa uchumi watumie kipindi hiki ambacho waislam wamefunga mfungo wa ramadhan, kupata jibu sahihi ya mzungungo wa biashara kwenye biashara ndogo ndogo, k.m baa, maduka ya vyakula, maduka ya mavazi endapo takwimu zake zitakuja kubadilika baada ya idd, na kama zitabadilika ni kwa kiasi gani. Baada ya hapo waje na mapendekezo yatakayo wawezesha wadau wote wa uchumi kuchukua hatua stahiki kwa ajili ya kunusuru hali hii ya uchumi kwa sasa. N.B tukumbuke uchumi wa nchi ukiporomoka sana, kuja kutengemaa itachukuwa muda mrefu sana. Maoni yangu ni kwamba tunatakiwa kuchukuwa hatua mapema. Waswahili walisema, 'usipoziba ufa; utajenga ukuta' naomba kuwasilisha.
Uzi mzuri ila uko so general!
Kuna micro economics and macro economics!
Tatizo kubwa lipo hapa kwenye micro economics
Watanzania wengi uzalishaji Mali wao sio Wa uhakika, wengi kazi zao ni za magumashi, na masoko magumashi,
Wanao lia maisha magumu kwa sasa ni wale ambao eidha bidhaa zao halali ila wateja wao kipato chao cha magumashi,
Kwenye maduka halali ila wateja wao vipato vyao magumashi, wamekumbwa na mdororo nao wanalia shida
Wanao lia maisha magumu kwa sasa ni wale wanaoishi kimazoea
Uchumi ni kama upepo hubadilika wakati wowote,
Watanzania wanaolia maisha magumu ni wale waliokuwa na upepo mzur enzi hizo kwao ila sasa upepo upo upande mwingine! Sasa zamu ya wengine kula bata daily!
Walio jiajir kwenye dili fek sasa zamu yao kusaga meno
Uchumi Wa Tanzania kiasi kikubwa kimebebwa na siasa za wanasiasa sio wanauchumi Wa kitanzania
Wanaolia maisha magumu ni wale walio kumbwa kaz zao na upepo Wa kisiasa Tanzania
Je we we kaz yako ni nini?
Kitu gan kimekuadhiri??
Zaman ulipata kiasa gani??
Je kwa sasa ngap??
Lazma mjue Wanaolia maisha magumu ni wale walio kuwa na kaz za magumashi mzunguko wake umeadhiri na wengine Wa halali!

Kama kweli uchumi mbaya taja kaz yako then tukuambie kwa nn unakufa na hiyo kazi!!
 
Kazi yangu ni shughuli halali za kijasiria mali, hivi kile kiwanda cha magunia kilichofungwa morogoro kwa kukosa wateja wa magunia nao unasemaje shughuli zao siyo halali? Je unaelewa vyema wanunuzi wa bidha zao ni kundi lipi? Unaweza fikiria ni kwa nn hata wale walio stahili kununua zile bidhaa hawa kununua?
 
Back
Top Bottom