Wakuu... this is a very crucial topic, ila sijui hata nianzie wapi!
KUna facets nyingi sana za kuiangalia muhimbili;
- kwanza ni namna gani governance yake inakuwa affected na Tawala za mikoa na serikali za mitaa
- we do also to position muhimbili role kwenye PPP
- Nafasi nyingine kubwa kwenye hii discussion ni namna ya financing ya activities zake including equipment and fixtures zinavyotumika na kuwa accounted for
- Isurance schemes zilizo pale
- Role ya chuo (MUCHS)
- Role ya research zinazoendelea
- Role ya donor community
- Role ya wizara mama na ofisi ya rais
- Effort level ya staffs na remuniration
- How it fits into the national health reform
- How is muhimbili is planning to expand na any sustainable plans zake including franchise etc
Nina imani kabisa, Muhimbili ikipata leaders wazuri, itaongoza mapambano ya kuinua afya. Na pia ikiumia PPP, management improvement and strategic positioning kuwa niche ya huduma mama
otherwise tutaishia kuwa na hii below sub-standard health care delivery system nchini ambayo iko fragmented,l influenced by mediocrity hasa kutoka kwa staffs wa donor community na watanzania
Natafakari namna ya kuanza kuingia kujadili health care system yetu hasa kwenye uongozi nakosa hata pa kuanzia kwani tumeweka madaktari kama viongozi wa management badala ya health administrations, health economists na business development and managers